Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Ujue mi nilisoma tu maandishi sikujua kama kuna picha, uhalisia ni kwamba kuamini ni kuongeza mzigo kichwani tu
Kwenye uzi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye uzi mkuu
Inawezekana ikawa ni matumizi mabaya ya ubongoUjue mi nilisoma tu maandishi sikujua kama kuna picha, uhalisia ni kwamba kuamini ni kuongeza mzigo kichwani tu
Nafikiri jibu linaweza kuwa katika mtindo wa swali, kwanini tunaishi, ilikuaje tukaishi?Kipi kinachotufanya tuishi, chakula au imani?
Ngoja nianzishe ratiba ya kula matundaInawezekana ikawa ni matumizi mabaya ya ubongo
Ni kafara ipi inafaa au mtu anaweza kuitoa ili kufanikiwa?Kufanya kazi kwa bidii sio njia ya kufanikiwa - kafara (sacrifice) is everything
Sali na kufanya kazi mkuu kazi ni utuHuwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
View attachment 3021732
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Kama uchungaji ni rahisi, try it! Watumishi wa madhabahuni watapata riziki zao madhabahuni.Wachungaji nao wanatawanyika kutafuta riziki au wanakula sadaka walizopata kupitia kazi yao ya kuuza maneno
The age of believing is over.Kuna uwezekano miaka ya mbeleni, imani ikapotea kabisa na majengo husika kuwa sehemu za uzalishaji.
Uombe nini?Work and pray
Fanya kazi Sana na pia uombe sana
Asiyefanya kazi na asile! Kama wako ibadani kuliinjilisha neno, ndio wito walioitiwa. Watakula madhabahuni.Sasa kuna wengine muda mwingi wanakesha kwenye ibada; je, hawa watakuwa wamegeuza ibada kuwa kazi?
Mh kuomba MunguUombe nini?
Ni kafara ipi inafaa au mtu anaweza kuitoa ili kufanikiwa?
The age of believing is over.
Wa are in the age of knowing.
Wazungu wengi walisha achana na hizi imani zisizo na msaada wowote zaidi ya kukupa matumini uchwara.
Sala ni sawa na pombe ina kusahaulisha matatizo yako kwa muda kwa kukupa matumini uchwara, ila ikiisha ku hustle kupo Pale pale..
Mfano mdogo, kifaranga cha kuku kikitoka kwenye yai baada ya hapo kinaitaji imani au chakula?Nafikiri jibu linaweza kuwa katika mtindo wa swali, kwanini tunaishi, ilikuaje tukaishi?
Tatizo wanakondoo wanakuwa wabishi kutoa michangoAsiyefanya kazi na asile! Kama wako ibadani kuliinjilisha neno, ndio wito walioitiwa. Watakula madhabahuni.
Mambo ya spiritual world yanasikika kwa matajiri uchwara hasa wa kiafrika ambao hata kwenye orodha ya Forbes top 100 hawapo..You can't dominate anything in this entity if you know nothing about spirituality world .
Huyu jamaa alijitahidi sana kufanya kazi ya kuigizaAcha kufananisha kufanya kazi na vitu vya kijinga.