Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Ora Et Labora ni latin maxim yenye maana "Sala na kazi".Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
View attachment 3021732
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Kwahiyo kusali na kufanya kazi vinatakiwa viende pamoja.
Lakini pia Biblia kwenye 2Wathesalonike 3: 10 inasema, "Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula".