Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Ora Et Labora ni latin maxim yenye maana "Sala na kazi".Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
View attachment 3021732
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Umuombe nini huyo Mungu?Mh kuomba Mungu
Ukiambiwa uchague kimoja, utachagua kipi?Ora Et Labora ni latin maxim yenye maana "Sala na kazi".
Kwahiyo kusali na kufanya kazi vinatakiwa viende pamoja.
Lakini pia Biblia kwenye 2Wathesalonike 3: 10 inasema, "Kwa kuwa hata wakati ule tulipokuwapo kwenu tuliwaagiza neno hili, kwamba ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula".
😁😁😁😁😁 Acha vijana wa yesu ,waruke madebe mkuu.Huyu jamaa alijitahidi sana kufanya kazi ya kuigiza
View attachment 3021793
Usiniharibie mood mwenzio nishsali napetiwa hapaUmuombe nini huyo Mungu?
Kwani huyo Mungu hajui mahitaji yako mpaka uanze kumuomba kumkumbusha?
Au huwa anasahau sahau?
Mungu kwanza Kisha kazi zifuatieHuwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
View attachment 3021732
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Matokeo ya ibada ni nini?I'm so proud of Muslim, al hamdu liLlah
Kazi ni moja katika ibada, muda ukifika wa salaa nendeni mkasali, mumuombe Mwenyezi Mungu, mkitoka misikitini tawanyikeni mkatafute rizki
Ibada kwanza, mambo mengine yanafuata
Katika kuamini unanufaika na nini?Mungu kwanza Kisha kazi zifuatie
Unasali ili ushushiwe muujiza kama mbadala wa kazi? Omba Afya njema, uzima, usalama, ila fanya kazi kwa bidii na maarifa.Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
View attachment 3021732
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Sali na kufanya kazi,Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
View attachment 3021732
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Nguvu za kufanya kazi zinatoka kwa MunguKatika kuamini unanufaika na nini?