Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Moja ya biashara kongwe zaidi duniani ​
Kwahiyo wewe unasisitiza iendelee?
Mwanamke km kuliwa ataliwa tu akiwa mkeo wa ndoa..!!

Halafu kwani hao wanawake wanalala na watu gani??
 
Huku kunako elekea, wanaume watakua Wehu, hii ni hatari, kuweweseka kila siku. Enyi wanawake punguzeni hiyo dosage, wagonjwa wenu watakufa kwa kuzidisha tiba.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?​

Mm SIKUBALIANI na ww kwenye hili.

Kwanza hoja zako zote umezijenga kwenye kuokoa GHARAMA.

1. Maisha yenyewe tu ni gharama, hata kama huna mke , mchepuko au hauend kutafuta hao malaya, bado utatumia hela ili uishi.
Tofauti ni how much you can afford to pay for that , in order to survive or enjoy !....

Gharama ya hela ni ndogo kwa uhai wako kuliko gharama ya kuwa na Malaya.

Hela Huisha pia.
Kama unaweza muhudumia mwanamke sawa, ila kama huwez bas unavunga wanaume wenzak wahudumie.

2. eti umeshauri mpaka waliosingle wanunue MaLaya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ili kuokoa gharama. Dah!

Ushauri wangu:-
1. Vijana watafute wenza wafanye nao maisha.
Ikishindikana kupata mwenza bas zaa na komaa kutafuta maisha zaidi.

2. Wenye Ndoa watulie,
(Wanaume wanaweza kuzingua ukiwa tayar una ndoa , ila sio sababu ya ww kuhangaika. Kuna sehem sahihi za kulalamika, ukiona inashindikana bas muachane kabla ya kuwa na mwanaume mwingne isije mkafumaniwa mkauliwa.)

Kwa mwanaume uko na Mke wako ndan akaf unamuacha unaenda mfuata Malaya,
Dah๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”
Jua tu uki mspoil mke wako, ukamtoa out ukampa bia na chakula kizur , akapendeza, atakupa zaid ya hata huyo malaya na hata senti hautoi baada ya huduma.
(Jaribi hii utaona).
 
uyo mkeo ni mpaka umspoil ndo akupe mambo mazuri. sasa anatofauti gani na malaya?
 
Lengo la huu uzi sio kuwahamasisha wanaume wanunue malaya ila wapime mambo kihalisi kati ya kununua malaya au kuhudumia malaya bora kipi?​
Kununua aisee.yani nilimpa demu 20k ya nguo wakat nikienda site na hiyo 20k nakula mbususu mpaka jasho la meno.
 
Kwahiyo wengi wanahudunia Malaya huku Kwa wake zao kila siku wanalalamikiwa hawatunzwi ipasavyo matokeo yake na wao wanaanza kujiuza ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mrina hii hii pale, kama unaenda tiptop au Mrina hipi mkuu? ๐ŸคฃMitaa fulani hivi ya jaromax hotel?? Au Mrina ya wapi
 
Mwanamke huwa jinsi mwanaume anavyom'treat...

Mwanamke mmoja anaweza kuwa mke sahihi huyu, akawa mchepuko kwa yule na malaya kwa huyu... Wanaume ndiyo huamua mwanamke aweje jinsi yeye anavyoona.

Kuepuka matatizo yote haya ni bora wanaume wajifunze kuzitawala hisia zao za kingono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ