Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

Naona hapo ni wanaume waache umalaya, hiyo ndio pona yao. Mahusiano huchukua muda kuyajenga, mkijaribu kuelewana, kuchukuliana na kupendana ili muweze kudumu na kuwa thabiti. Msiyaingie mahusiano kwa njia ya kuyagharamia, bali kwa mawasiliano ya kawaida zaidi mkiwa na lengo la muda mrefu. La sivyo, wote mtaendeleza umalaya tu wa kutumiana kingono na kiuchumi iwe ni kwa kununua au kuhudumia, vyote sawa.
 
Kwahiyo wewe unasisitiza iendelee?
Mwanamke km kuliwa ataliwa tu akiwa mkeo wa ndoa..!!

Halafu kwani hao wanawake wanalala na watu gani??
Kwa maoni yangu iendelee wana umuhimu wao

Mwanamke lazima aliwe ndio maana Mzee wa kupambania alisema hata wake ni malaya

Wanalala na wateja wao
​
 
Msiyaingie mahusiano kwa njia ya kuyagharamia, bali kwa mawasiliano ya kawaida zaidi mkiwa na lengo la muda mrefu. La sivyo, wote mtaendeleza umalaya tu wa kutumiana kingono na kiuchumi iwe ni kwa kununua au kuhudumia, vyote sawa.
Una hoja lakini sio kwa hawa modern women wengi wanachozingatia ni kuuza vikojoleo​
 
Huo ndio kweli, wanawake wote wamekaa kwenye mahusiano kimasilahi japokuwa wanatofautiana kipaumbele.

Mkeo usipomhudumia atatoka nje.
Demu wako usipomhudumia atatoka nje.
Hii yote ni sifa za malaya, kwamba wanataka pesa tuu.
Hata ukimhudumia,atatoka nje tu,na huo ndo umalaya,yaani unafungua kila penis inamwaga mazaga.
 
Ushauri wangu:-
Ikishindikana kupata mwenza bas zaa na komaa kutafuta maisha zaidi.
Kwa nini uzae mtoto na mwanamke ambaye hauna mpango wa kufanya naye maisha?

Huoni kuwa huo ni ubinafsi unajiangalia wewe tu na huku mtoto au watoto wako wakikosa malezi ya mzazi mmoja?
​
 
Kwa nini uzae mtoto na mwanamke ambaye hauna mpango wa kufanya naye maisha?

Huoni kuwa huo ni ubinafsi unajiangalia wewe tu na huku mtoto au watoto wako wakikosa malezi ya mzazi mmoja?
​
Ubinafsi ni kutokuzaa kabisa.

Ndoa sio ya kila mtu.
Kama imeshindikana, unazaa tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…