Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma.
Bora hata jirani zetu Kenya huwa wanajizolea medali mbalimbali kwenye mbio ndefu kila mwaka
Mfano wa Eliud Kepchonge na wengine.