Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
BirianiNaona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Mimi pia sijawahi kuona logic ya kula nyama ya nguruweNyama ya nguruwe
Chunga hata niwe na njaa kiasi gani siwezi kula.Kabichi na mchunga