Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

Majani ya kunde ile sio mboga ni ukatili wa mimea!.
pizza, nakula ila vipande viwili baada ya hapo naikinai!.
uyoga!,oya hii midude nikiambiwa inaliwa nashangaa sana cha ajabu ni chakula international na unaweza kuchanganyiwa usijue mpaka udadisi.. ukinilisha uyoga mi nakubaka...🤣
 
Back
Top Bottom