Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,772
- 32,649
Hapo kwenye majani ya kunde nakuunga mkono tena majani ya kunde wakati yanapikwa yanapo kuwa yanachemka basi kama unataka kujua kuwa una Malaria basi nusa harufu yake utashangaa Malaria inafumuka mwilini.Majani ya kunde ile sio mboga ni ukatili wa mimea!.
pizza, nakula ila vipande viwili baada ya hapo naikinai!.
uyoga!,oya hii midude nikiambiwa inaliwa nashangaa sana cha ajabu ni chakula international na unaweza kuchanganyiwa usijue mpaka udadisi.. ukinilisha uyoga mi nakubaka...🤣