Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

Vitu vengine ni upishi
Zanzibar tunazipika za nazi hizo shatashata, zinaungwa na kutunguu maji plus tungule na kotmir. Utajiramba
Ila ukila ya kuwekwa tu kwenye mchuzi yanakuwaga hayana ladha
Labda ila nishajaribu mapishi mbalimbali zimenishinda mkuu, labda akili yangu ilishazikataa toka kitambo.
 
Nyanya isiposagwa ikapikwa kwa kukatwa katwa tu ninavyo kula naona kama nakula tope la kamasi lenye chumvi lisilo na radha huwa najisika kutapika nikijilazimisha huwa natapika kweli eti
 
Back
Top Bottom