Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

Ni chakula gani watu wanakipenda lakini wewe hujawahi kukielewa kabisa?

We jamaa Mirungi ni chakula?!šŸ¤”
Ni chakula
1000029746.jpg
 
AMBACHO HAKITAKUJA KUINGIA TUMBONI MWANGU NI SUMU TU,VINGINE VYOTE NATWANGA!
Usiwe mwepesi wa ku conclude mkuu.

Kuna vitu vinafakamiwa ukiona namna vinavyoandaliwa pamoja na materials zake, huwezi kula.

Mfano, waChina wanakula mbwa kwa uwazi kabisa, konokono na madudu mengine ya ajabu ajabu.

Tuje kwa waAfrika wenzetu waNigeria, ugali sawa, ila mboga zao sasa!

Nyama, mlenda, mawese na mboga zingine wanamix, dah!

Kuna makabila ya mkoa wa Rukwa ama Katavi wanabangua funza flani kwenye magogo yaliyooza wanaita magando, yanakaushwa vizuri na kuliwa.

Chakula ni utamaduni, kufakamia chakula kisichoendana na utamaduni wako kinaweza kikakuletea madhara pia.
 
Hata mimi nyanya chungu na vitu vyovyote vichungu mfano. Kahawa na pombe sigusagi.

Laiti kama pombe ingekua na ladha tamu kama Soda, Ningekua nakesha Bar.
Zenye ladha tamu zipo kibao ila sikushairi uzianze, ulevi sio utamu wa pombe ni ile hali unayokua nayo baada ya kuzigida.
 
Nyanya chungu ina mboga yake kama dagaa na chakula chake ni ugali zaidi ya hapo ni matatizo makubwa sana ...kwa wale wasiopenda ugali awawezi kuzipenda nyanza chungu maana mapishi yake ni kwa kulia ugali tu
Ndio hivyo ila mimi sijawah kuzipenda mkuu, zikitiwa kwenye dagaa huwa nakula dagaa tu.

Kuna watu wanakula mbichi kabisaa na chumvi tu.
 
who found this as a mboga!, sometimes i think there's people wants to kill us!..🤣
Mbona hiyo tamu, kuna zile wanachuma porini ni mnafu sijui aloo ni chungu ila watu wanakula na kuzipenda.
 
Ugali maharage.Moja ya vyakula vya hovyo kabisa.

Kwa waliosoma boarding hiki chakula kilikuwa hakiepukiki kabisa.
 
Nyanyachungu, home walikua wanazikubali balaa. Zilipandwa za kutosha ila sijawah kuielewa ile mboga.

Nikila huwa nameza kama kidonge, sitafuni.
Vitu vengine ni upishi
Zanzibar tunazipika za nazi hizo shatashata, zinaungwa na kutunguu maji plus tungule na kotmir. Utajiramba
Ila ukila ya kuwekwa tu kwenye mchuzi yanakuwaga hayana ladha
 
Mkuu umejiandaa kwaajili ya KUBISHANA badala ya kujadiliana
 
Zenye ladha tamu zipo kibao ila sikushairi uzianze, ulevi sio utamu wa pombe ni ile hali unayokua nayo baada ya kuzigida.
Basi sitaki kuzijua aisee ntaumia ngoja nikomae na chai na soda huu utamu unatosha
 
Back
Top Bottom