Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Katika mboga za majani yenye ufanisi katika afya ya binadamu ni hiyo sasa.Kabeji,,,, vingine vinavumilika
Kama ladha yake haipandi, inashauriwa ichanganywe kwenye nyama etc kukata shombo.
Katika mboga za majani yenye ufanisi katika afya ya binadamu ni hiyo sasa.Kabeji,,,, vingine vinavumilika
Naacha mtu mimi...
Sio MATOPE hayo unayoyajua😅Matope ushawahi kula mkuu?
Tatizo la hao shombo wasipo tengenezwa vizuri.
😂 SawaSio MATOPE hayo unayoyajua😅
Ipi logic ya kula nyama ya ng'ombe?Mimi pia sijawahi kuona logic ya kula nyama ya nguruwe
Kabeji haina kirutubisho chochote mwilini,,,kama kipo kitaje !Katika mboga za majani yenye ufanisi katika afya ya binadamu ni hiyo sasa.
Kama ladha yake haipandi, inashauriwa ichanganywe kwenye nyama etc kukata shombo.
Inasaidia kukausha unapoumia(blood cloating)Kabeji haina kirutubisho chochote mwilini,,,kama kipo kitaje !
Mnafu nimeula sana chuga! I can say ni mboga nzuri mno!! Its one of my favorite.Mbona hiyo tamu, kuna zile wanachuma porini ni mnafu sijui aloo ni chungu ila watu wanakula na kuzipenda.
Kabichi ipo na vitamini gani tuambieKatika mboga za majani yenye ufanisi katika afya ya binadamu ni hiyo sasa.
Kama ladha yake haipandi, inashauriwa ichanganywe kwenye nyama etc kukata shombo.