Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Kuna watu wanapiga nneHivi kuna mtu anaweza kugonga, zaidi ya mbili kweli!
Kuna watu wanapiga nneHivi kuna mtu anaweza kugonga, zaidi ya mbili kweli!
Mmmmh huijui chai ya rangi kivipiHizo fix mkuu,
Mimi Nina miaka 30 siijuwi chai ya rangi,
Kwahyo tumbo limejaa madini ya masufuria?
Ninachojuwa Mimi chai huleta joto mwilini na sio zaidi.
Nililetewa na kabulu mmoja kutoka south Africa zipo Kwa box3 Hivi nilijaribu kula nikashindwa ikabidi nibebe Hadi home nikampa wife nikamwambia Leo nimekununulia pizza wee alifakamia Hadi nikashangaa huyu kashaonea wapi haya mazaga muda huo anasema kumbe pizza tamu Hivi 😂😂😂Naelewa mimi mwenyewe Pizza imenishinda kabisa lakini unakuta kuna watu wanavyoisifia, siku moja nilijaribu sitamani tena kula
Sinywi kitu kinaitwa chai,Mmmmh huijui chai ya rangi kivipi
Sasa wadada wa mjini utawaambia nini na hayo mavitu wakuelewe😁😁Nililetewa na kabulu mmoja kutoka south Africa zipo Kwa box3 Hivi nilijaribu kula nikashindwa ikabidi nibebe Hadi home nikampa wife nikamwambia Leo nimekununulia pizza wee alifakamia Hadi nikashangaa huyu kashaonea wapi haya mazaga muda huo anasema kumbe pizza tamu Hivi 😂😂😂
Siku nyingine Tena Wana wakanunua nikajaribu lkn wapi nikawaambia Mimi haya mambo yenu nikubali tu yameshinida nipo kwenye starehe lakni Sioni kama nastarehe Kwa chakula chenu hiki.
Mkuu unachojua wewe na FACT vinaweza kuwa vitu viwili tofautiKwahyo wale ambao bila kunywa chai ya rangi kichwa lazima kiume, anakuwa amekosa madini gn?
Au amezidisha kuondoa madini ya chuma?
Chai ya rangi zaidi ya kuleta joto mwilini haina maana yeyote..
Mimi siyo sungura aisee. Siwezi kupenda kula vitu vichungu mfano wa chunga.Mapishi tu ....sema mchunga ni mboga ya kiume ...wanaume mchunga wanawake mlenda.
Siwezi kushangaa kitu sipendi wengine wanapenda. It's a matter of preferenceMapishi tu ....sema mchunga ni mboga ya kiume ...wanaume mchunga wanawake mlenda.
Mkuu unachojua wewe na FACT vinaweza kuwa vitu viwili tofauti
Hapa tunataka Fact na sio unachojua wewe.
Zamani kabla ya internet tulikua tunadanganyana sana na hizi stori za vijiweni kwamba kabichi kisanvu chai nk havina chochote vinaongeza kwenye mwili
Simple Googling inakupa credible link za kukupa taarifa sahihi m
Hizo mboga ulizo tsja unslia chakula gani ugali ? Uchungu wa mchunga unachujwa vizuri na kubaki kidogo ule uchungu ndiyo unanogesha hiyo mboga nikama pilipili au ndimu kwenye mbogaMimi siyo sungura aisee. Siwezi kupenda kula vitu vichungu mfano wa chunga.
Ngogwe (nyanya chungu) pia sizipendi badala yake napiga aubergine(eggplant, brinjal).
Kaitafute Smirnoff ice ya baridi uje na mrejesho hapa...Fanta hii hapaHata mimi nyanya chungu na vitu vyovyote vichungu mfano. Kahawa na pombe sigusagi.
Laiti kama pombe ingekua na ladha tamu kama Soda, Ningekua nakesha Bar.
Chapati? Seriously?Naona sushi kinakuwa overrated lakini mimi sijawahi kukielewa kabisa pamoja na chapati za kusukuma kila mtu ana hype chapati maharage ila mimi sizielewi kabisa.
Mkuu kwenye ndizi nakubaliana na wewe ingawa natokea unyakyusani kwenye ndizi nyingi, ila kuna ndizi kwetu wanaita ndizi uganda zile ukipikia supu ya nyama ni zaidi ya utamu.Mkuu Mimi ndizi nyama hata upike ukiwa uchi au fanya uwezavyo haipandi kabisa. Mimi ndizi napenda za kuiba tu Toka shambani basi hizi za kupika nk hamna kitu.
Nimekula Kwa wapishi tofauti tafaut na wanaosifiwa lakini wapi.