Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

8yrs mishe zangu ni lake zone,ila nilivyokua nasikia story za utamu wa hawa samaki(nikiwa Dsm,home) naona tofauti na uhalisia,kwa minofu kweli wamejaza ila kwa taste binafsi hapana[emoji85][emoji1787]

Kula kitimoto mkuu.
 
Comments kama hivi ndo huwa zinasababisha mfumuko wa bei. Ukitaja mamno ya mabao mabao watu wanatengeneza fursa chap...😂
 
Underated
Ugali dagaa
Chai viazi vitamu
Chai mihogo

Overated
Chipsi mayai
Wali kuku
Maoni yangu 😂😂

Viati vitamu wala haviwi underrated, hivyo vinafaa kuwa underground hivyo hivyo. Huwezi kufananisha na mihogo kabisa.

Chipsi mayai...dah, hiyo kitu ukiigonga halafu ukapata na mirinda nyeusi barrriiiid. Wacha wadada wapate mimba kisa chipsi yai aisee, ni tamu.😂

Kwingine naunga mkono hoja.

Au nasema uongo ndugu zangu? 😂
 
Nikija kumjua aliyegundua hii combination nitamjengea kasanamu kadogodogo kuenzi mchango wake.
Hii kitu inakaa popote kuanzia; breakfast, lunch, supper, dinner.....
Wali maharage ni habar nyingine kabisa
 
Bora nipambane na makande au mdojolela, ila pizza sijui birian hapan kwa kweli siwezi.
 
Unapiga mule mule yaaan, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…