Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?

Niliwahi shinda na kulala na njaa mimi wife na mtoto wangu wa kiume.

Nilimwaga machozi usiku ule kimyakimya huku wife hajui, asubuhi nikaamka 12 kamili kucheki vibarua vya kubeba zege (Mind you nina degree ya Geology na nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni kadhaa ila wakati huo nikawa sina ajira na vyanzo vya mapato vyote vilifirisika).
na sikuambulia kibarua mpka inafika saa 5 asubuhi hapo mwili unatetemeka balaaa, wife akanitumia sms kuwa kakopa chapati 6 kwenye mgahawa nije nile nishushie na maji nisije nikazimia mbele za watu.

SITOSAHAU

Nitakuja na kisa changu namna nilijifanya mganga wa kienyeji ili nimpige dada mmoja wa kichaga 600,000 ili nipate kodi, kula na kadhalika.MUNGU ANISAMEHE SANA.

Umemaliza UDOM?
 
Ili kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.

Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.

Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.

Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.

Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hii comment yako imenikumbusha mbali sana.

Kipindi cha mapito magumu nilikutana na ndugu kabisa wa mzee wangu. Nikamwambia hali halisi ya maisha.
Yule mzee alinijibu unakosaje hata mlo mmoja, huoni unajaza dunia tu si bora ungekufa na baba yako tu.

Hii kauli iliniliza kama mtoto mdogo.

Ila Mungu si wa mmoja, hivi karibuni tu kulipitishwa mchango wa kifamilia, mzee kashikwa na tezi dume analia kama mtoto. Watoto wake hakuna hata mmoja mwenye muelekeo.

Nilistopisha ule mchango na nikasimamia operation yake mpaka kutoka kwake hospitali.
Yule mzee anajifanya kasahau kila kitu ila najua nafsi yake inamsuta kila akiniona.
Walahi mi ningekumbushia..sina dogo
 
Niliwahi shinda na kulala na njaa mimi wife na mtoto wangu wa kiume.

Nilimwaga machozi usiku ule kimyakimya huku wife hajui, asubuhi nikaamka 12 kamili kucheki vibarua vya kubeba zege (Mind you nina degree ya Geology na nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni kadhaa ila wakati huo nikawa sina ajira na vyanzo vya mapato vyote vilifirisika).
na sikuambulia kibarua mpka inafika saa 5 asubuhi hapo mwili unatetemeka balaaa, wife akanitumia sms kuwa kakopa chapati 6 kwenye mgahawa nije nile nishushie na maji nisije nikazimia mbele za watu.

SITOSAHAU

Nitakuja na kisa changu namna nilijifanya mganga wa kienyeji ili nimpige dada mmoja wa kichaga 600,000 ili nipate kodi, kula na kadhalika.MUNGU ANISAMEHE SANA.
Wewe ni mwanaume, pesa inatafutwa kivyovyote. Wanaokwàmbia sijui sio vizuri.. ooh utaishia pabaya.. wanakwambia hivyo huku wameshiba
 
Siku ukipata pesa kidogo sio lazima ziwe nyingi,unaweza ukawa hata na buku mbili ukaichenji mia mbili mbili then ukiona madogo sehemu hasa watoto unawapa..au ukanunua hata mfuko wa pipi unawapa..trust me inafungua sana mambo!
Mkuu kweli??? mbona matajiri wengi wana roho mbaya...
Na bado wanafanikiwa.
 
Niliwahi shinda na kulala na njaa mimi wife na mtoto wangu wa kiume.

Nilimwaga machozi usiku ule kimyakimya huku wife hajui, asubuhi nikaamka 12 kamili kucheki vibarua vya kubeba zege (Mind you nina degree ya Geology na nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni kadhaa ila wakati huo nikawa sina ajira na vyanzo vya mapato vyote vilifirisika).
na sikuambulia kibarua mpka inafika saa 5 asubuhi hapo mwili unatetemeka balaaa, wife akanitumia sms kuwa kakopa chapati 6 kwenye mgahawa nije nile nishushie na maji nisije nikazimia mbele za watu.

SITOSAHAU

Nitakuja na kisa changu namna nilijifanya mganga wa kienyeji ili nimpige dada mmoja wa kichaga 600,000 ili nipate kodi, kula na kadhalika.MUNGU ANISAMEHE SANA.
Huyu shem apewe maua yake. Daah kuna wanaume wenzetu wana bahati asee.
 
Niliwahi kuamka na 150tsh na unga 1/8 na madeni maduka yote mtaani, nina mke na mtoto. Wife anauliza tutafanyaje, namwambia usiwe na wasiwasi tutakula tu.

Hatukuwahi kulala njaa, licha ya kutembelea kwenye chaki karibu mwaka mzima. Mungu yupo. Tumtegemeeni.
Hii kutembelea chaki inakuaga kama miujiza flani hivi lakini unashangaa siku zinaenda asee Mungu mkubwa.
 
umenikumbusha mbali. nilikopa godoro nikailaza chini sikuwa na kitanda akaniongezea na stuli ya kukalia alafu nikaoa siku 15 mbele wakati wa jion wife anasonga ugali jamaa anapiga hodi karibu mara paap nataka pesa ya godoro na ya stuli mbele ya wife daah nikamuomba aniongezee siku 15 inafika asubuhi napiga mswaki kurudi ndani nikakuta wife kabeba vitu vyake kampelekea daah
Ulipata mke safi sana mwenye upendo wa dhati na mwaminifu usije ukamsahau bro.
 
Niliwahi shinda na kulala na njaa mimi wife na mtoto wangu wa kiume.

Nilimwaga machozi usiku ule kimyakimya huku wife hajui, asubuhi nikaamka 12 kamili kucheki vibarua vya kubeba zege (Mind you nina degree ya Geology na nilishawahi fanya kazi kwenye kampuni kadhaa ila wakati huo nikawa sina ajira na vyanzo vya mapato vyote vilifirisika).
na sikuambulia kibarua mpka inafika saa 5 asubuhi hapo mwili unatetemeka balaaa, wife akanitumia sms kuwa kakopa chapati 6 kwenye mgahawa nije nile nishushie na maji nisije nikazimia mbele za watu.

SITOSAHAU

Nitakuja na kisa changu namna nilijifanya mganga wa kienyeji ili nimpige dada mmoja wa kichaga 600,000 ili nipate kodi, kula na kadhalika.MUNGU ANISAMEHE SANA.
Huyo mke unaye mpaka leo?!
 
Ili kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.

Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.

Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.

Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.

Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
Hongera kwa kuyavuka hayo na ubarikiwe kwa kukumbuka wema.

Kuna kaka mmoja huwa anatupenda sana siku nilipo uliza kwanini na sio ndugu yetu wakasema baba aliwahi msaidia kama ivo nae analipa indirectly
 
Back
Top Bottom