Tana mbaya zaidi iwe kwamba wewe baba yako kama alikuwepo hamkuwahi kulala njaa
unakuta wewe waweza jikaza ila wife na mtoto wenu kidume usoni ukiwacheki ni dhahiri kabisa njaa imewanyoosha si kidogo.
unamwaga machozi usiku kimyakimya ili kulinda brand, asubuhi unaamka 12 kamili kucheki vibarua vya kubeba zege (hapo una degree au diploma ya chuo). unazunguka weeee hadi saa sita ni bila bila! mwili unatetemeka balaaa,
wife ak=nanitumia sms kuwa kakopa chapati 6 kwenye mgahawa uende ule ushushie na maji usije nikazimia mbele za watu.
>> source B]