Ni changamoto zipi umewahi kupitia ukiwa katika hali ya umasikini?


Umemaliza UDOM?
 
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Walahi mi ningekumbushia..sina dogo
 
Wewe ni mwanaume, pesa inatafutwa kivyovyote. Wanaokwàmbia sijui sio vizuri.. ooh utaishia pabaya.. wanakwambia hivyo huku wameshiba
 
Siku ukipata pesa kidogo sio lazima ziwe nyingi,unaweza ukawa hata na buku mbili ukaichenji mia mbili mbili then ukiona madogo sehemu hasa watoto unawapa..au ukanunua hata mfuko wa pipi unawapa..trust me inafungua sana mambo!
Mkuu kweli??? mbona matajiri wengi wana roho mbaya...
Na bado wanafanikiwa.
 
Huyu shem apewe maua yake. Daah kuna wanaume wenzetu wana bahati asee.
 
Hii kutembelea chaki inakuaga kama miujiza flani hivi lakini unashangaa siku zinaenda asee Mungu mkubwa.
 
Ulipata mke safi sana mwenye upendo wa dhati na mwaminifu usije ukamsahau bro.
 
Huyo mke unaye mpaka leo?!
 
Hongera kwa kuyavuka hayo na ubarikiwe kwa kukumbuka wema.

Kuna kaka mmoja huwa anatupenda sana siku nilipo uliza kwanini na sio ndugu yetu wakasema baba aliwahi msaidia kama ivo nae analipa indirectly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…