TheMnyonge
JF-Expert Member
- Mar 25, 2022
- 738
- 1,886
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeee nyie mmetokea wapi mbona wanajf hatupo hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeee nyie mmetokea wapi mbona wanajf hatupo hivo
Amin tena hii imewahi kunikuta nikiwa nchi za watu ni mtu maarufu hapa bongo kwenye sinema amewahi kunisaidia wakati huo hata hatujuani...!Nimesoma hii Comment yako machozi yamenilenga[emoji26]
Iko hivi Mkuu...Kuna watu ni Daraja,Baraka katika maisha ya watu wengine....Hata wewe pia...
Hujawahi kuona unaweza kuwa kwenye changamoto fulani halafu Mungu anamleta mtu wewe mwenyewe huelewi..Then huyo mtu atakusaidia kwenye hiyo changamoto.. ukivuka hapo anaondoka na siyo mmegombana... ni ukaribu tu unapungua..Maana yake ni nini? Kazi yake ameimaliza...Anatakiwa akafanye kingine kwa wengine na wengine tena...Hawa watu wanaitwa "Destiny Helper"
Mm inani gomea kukopa hizo apps asee sijui shida nn wakat nashida na hela balaaaaSitasahau nilivyoanza kukopa hela kwenye applications za mikopo nilizokuwa nazidharau nikiona matangazo yangu Facebook. Sasa picha linaanza kuna siku nataka kukopa TENI kwenye Moja ya application za MIKOPO wakaomba picha yangu ya kuscan nilikuwa bar then nakimbia toilet kupiga picha kwa Siri ghafla umeme ukakata daah ilikuwa noma sana wakuu. Chanzo Cha yote hayo ni kupitia ugumu wa kuichumi usiombe yakukute[emoji23]
Mlijengwa kwenye msingi mzuri, wababa wengi wa Sasa hawajui mamlaka Yao na jukumu lao kwa kizazi Chao kiasi Cha kulaaniwa bila wao kujua, unakuta baba kijana kabisa hajengi msingi wa watoto wake ila na muda mwingine watoto wamekuwa kidogo na hawana msingi mzuri anashinda kuomba hela kama mtu asiye na nguvu na watu wanashangilia, ila baba wa hivyo huwa ananya'gwa mamlaka yake na Mungu na uzee wake huwa mbaya sana tena wa kuomba omba kama ombaomba, ila baba aliyesimama kwenye msingi wake huku anamkumbusha Mungu ambariki ili asimamie majukumu yake vizuri hata watoto wakiondoka wote Bado Mungu huwa anampa watu wa kumuhudumia nyakati za uzee.Nimesoma comments zoote
Kwa hakika maisha ni tough
Neno moja lisikauke kinywani ni AHSANTE MUNGU
binafsi sikuwahi kupitia maisha magumu hata kidogo
Kwetu tupo 6
Ila mshua alipambana kadri ya alivyoweza kuweka mambo level nyumbani
Leo wa tatu kati ya sisi sita tunaweza kusema tunajitegemea
Wazazi wanapambana sana sana Sanaa kujenga tabasamu kwetu
Thus mama au mzee wanapotaka chochote hua sisiti kutoa pesa
Ungeitiwa mwizi bruh 😄Without test there is no testmony.......niliwahi kimbia na sufuria la viazi vitamu kwenye mji wa mwalimu mmoja nika survive siku mbili kwa viaz vile.......unatafuta kazi hupati na hata vitu ulivonavyo haviuziki maana ni low standard au outdated😃😅😅
Timing ilikua nzuri.......kipindi wanaangalia taarifa ya habar ITV mm nikabeba sufuria....Ungeitiwa mwizi bruh 😄
Sufuria lilikuwa kwenye mkaa nje sio 😆Timing ilikua nzuri.......kipindi wanaangalia taarifa ya habar ITV mm nikabeba sufuria....
eee mkuu....na nadhani vilikua vya breakfast ndio maana walivitelekeza namna ile......Sufuria lilikuwa kwenye mkaa nje sio 😆
Jamani,usiwasahau watoto wa huyo jombaa km bado mna uhusiano na baada ya jamaa kufaIli kuimarika kuna mapitio mengine ni muhimu kuyapitia ili yawe ukumbusho wa kukosa pale ukipata.
Ila kiukweli kabisa hakuna faraja kwenye ufukara.
Nakumbuka kuna kipindi nilipigika ikawa natembelea washkaji mida ya misosi kiasi cha kujua ratiba ya mlo wa masela wote.
Kuna msela wangu (Mungu amlaze mahala pema) ilikuwa ikifika jioni ananipigia simu kuniita tukapige story, kumbe alishajua hali yangu na ule wito ulikuwa ni msaada indirectly maana alihakikisha nakula ndio naondoka.
Na kila nikiondoka mkewe ananipa kikontena cha msosi ananiambia shem naona chakula cha leo umekipenda beba na hiki utakula baadae.
Hawakujua jinsi gani walikuwa wakinisevu.
Ahsante mkuu kwa neno ZuriMlijengwa kwenye msingi mzuri, wababa wengi wa Sasa hawajui mamlaka Yao na jukumu lao kwa kizazi Chao kiasi Cha kulaaniwa bila wao kujua, unakuta baba kijana kabisa hajengi msingi wa watoto wake ila na muda mwingine watoto wamekuwa kidogo na hawana msingi mzuri anashinda kuomba hela kama mtu asiye na nguvu na watu wanashangilia, ila baba wa hivyo huwa ananya'gwa mamlaka yake na Mungu na uzee wake huwa mbaya sana tena wa kuomba omba kama ombaomba, ila baba aliyesimama kwenye msingi wake huku anamkumbusha Mungu ambariki ili asimamie majukumu yake vizuri hata watoto wakiondoka wote Bado Mungu huwa anampa watu wa kumuhudumia nyakati za uzee.
Ni jambo jema lkn angalia isije ikakucost siku moja,endapo ikija kutokea mtoto yoyote akapata shida suspect wa kwanza unaweza kuwa ni wewe, unaweza ukawa unafanya kwa nia njema lkn yakija kutokea ya kutokea wazazi wanaweza wasikuelewe,ni heri kutoa kwa kutumia njia salama kama kwenye vituo vya vya malezi vya watoto, misikitini au makanisani,hayo ni maoni yangu tu lkn.Siku ukipata pesa kidogo sio lazima ziwe nyingi, unaweza ukawa hata na buku mbili ukaichenji mia mbili mbili then ukiona madogo sehemu hasa watoto unawapa..au ukanunua hata mfuko wa pipi unawapa..trust me inafungua sana mambo!