bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,054
- 2,348
nilishagombana na wife kwa sababu hiyo mwisho nikaamua kufuga bata kuku na sungura ili mabaki wale wanyama sio kumwaga jalalaniKamwe do not entertain kumwaga chakula ndani kwako, hakikisha chakula kinapikwa cha kutosha watu kushiba vizuri lakini kisiwe kinamwagwa. Kosa/dhambi kubwa sana hii kumwagamwaga vyakula.