Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani Watanzania huwa wanachagua nini?. Wana chagua chama, mgombea wa CCM ndie rais wa JMT, CCM hata ikisimamisha jiwe, jiwe linapita!.

Ila Maza nimemshauri hapa kwenye HII kitu!.
P

..Mama Abduli atakuwa mgombea asiye na uwezo kuzidi wote katika historia ya wagombea wa Ccm. Ngoja tuone itakuwaje, lakini ukweli ndio huo.
 
..Mama Abduli atakuwa mgombea asiye na uwezo kuzidi wote katika historia ya wagombea wa Ccm. Ngoja tuone itakuwaje, lakini ukweli ndio huo.
Sie yeye akiyeamua kuwa rais wa JMT, ni Mungu ndiye kampangia Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania! hivyo atampa uwezo huo.

Hivyo kama ni huyu ndie tuliyepangiwa nae, the best thing we can do ni kumsaidia aweze Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?

P
 
Basi huu wa maboksi a.k.a maboski ndio unavitimbwi maradufu.

Eti mkipiga kura mnaondoka halafu wao wakiwa peke yao wanahesabu then wanawatangazia mshindi.

Labda hizo kura ahesabu Yesu.
Kura zinaongezwa mwa 100 kabla ya kuhebiwa, nina ushahidi kitongoji x wananchi wapo 346 ila walio jiandikisha hawafiki 120 lakini walio piga kura ni 469 na kura zote ni za ndio
 
Unatumia authority ipi kutulazimisha kuwa Mungu ndiye anatoa urais na siyo kura zetu?
 
Huo uchaguzi labda uwe wa kidigitali ambapo ukipiga kura yako unaiona ilee imesoma.

Na huo mfumo uwe umetengenezwa na kusimamiwa na wazungu. Sio mnampa Nape kama msimamizi.

Vinginevyo sijui
Nao wadhungu wana watu wao. Sio wa kuwaamini sana
 
Utasubiri sana hatuwezi kuwa na Rais mropokaji.
Wahuni mnamuita mtu anayesema ukweli ni mropokaji.

Ameropoka nini kinachokuvunja moyo na kukuondolea imani?
 
Rais wa Ubeligiji
 
Hii ni comesy Plus

Unfortunately Huyo ataishia kuwa Rais wa mioyoni yenu kama Marehemu Lowasa & Maalim Seif tuu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dogo kuwa makini sana. Kuna K Vant feki zinauzwa kwenye vigrosari vya mtaani tena kwa bei nafuu. Nasikia zinamfanya mnywaji apoteze kumbukumbu na wakati mwingine aongee jambo bila kujitambua!
 
Ccm ,imepeleka mabasi yote Dodoma, ila utafikili hakuna Jambo linaloendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…