Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
NB; Hata Tabiri(kwa wale wa kiroho) mbali mbali ambazo zimeongelewa Prophetically ni kwamba 2030 Upinzani wanachukua nchi!
Maana ukiangalia upande ule haonekani mtu yeyote mwenye mvuto na watu watakuwa wameshachoka kabisa !
 
Hayo ni maneno kutoka Ccm kwenyewe !
Strong resources ni Watanzania wenyewe wote kwa pamoja. !
Utawala ukibadilika haina maana wanakuja watu wapya kutoka Nchi nyingine kuendesha Nchi !
Watu watabaki ni wale wale maofisini na sehemu nyingine za kazi watakuwa ni wale wale, wataalamu wa fani mbali mbali watakuwa ni wale wale vyombo vyote vya usalama watakuwa ni wale wale,
Kila mfanyakazi atakuwa pale pale mahali pake pa kazi isipokuwa huko juu ndiko kutakako badilika kidogo !
Sheria ni zile zile mpaka zitakapo fanyiwa marekebisho na Bunge kama ikionekana kuna ulazima wa kufanya hivyo !!
Strong resources zipi unazozisema ?
Labda zile za kutuma watu wawadhalilishe Wazee. ??!!
 
Kabla hajapigwa Risasi alifaa kuwa Rais!

Baada ya kupigwa Risasi hapaswi napaswa kuwa chibi ya Rais kicheo aidha PM au makam n.k

Kwanini

Anaumwa hayupo sawa aliumizwa kihisia hajapona ataligharim taifa!!

Nakoment kama mtaalam wa wanyama kisaikolojia na si vinginevyo!!
 
Mnataka kutuletea chizi asiye na sera yoyote zaidi ya domo kubwa kweli? Ila ukilinganisha na huyu wa mkono wa mungu unashindwa uchague nini kati ya matapixxx na mavxxx.
 
Mama Mpaka 2040, CDM wakimsimamisha Mama tashinda kwa zaidi ya 90%. Kiufupi Mama hashikiki.
 
Mama Mpaka 2040, CDM wakimsimamisha Mama tashinda kwa zaidi ya 90%. Kiufupi Mama hashikiki.
 
Unaota wewe mbaba🥶lisu akiwa raisi nikutafutia ng'ombe kiziwi
 
Raisi wa Bongo Huwa achaguliwi kwa kura za wananchi. Hicho kinachoitwa uchaguzi ni utapeli tu.
 
Huo uchaguzi labda uwe wa kidigitali ambapo ukipiga kura yako unaiona ilee imesoma.

Na huo mfumo uwe umetengenezwa na kusimamiwa na wazungu. Sio mnampa Nape kama msimamizi.

Vinginevyo sijui
Mkuu, hivi Mimi Huwa najiulizaga Kila siku, huu ukuaji wote wa technology, wataalamu hawawezi tengeneza mashine za kupigia kura kidigitari ili kuweka uwazi wa kura zote zinazopigwa kwa Kila mgombea.. ikasaidia kupunguza haya makaratasi na huu wizi wa kura miaka yote.

Yaan ikiingia kwenye mfumo una uwezo wa kua-access matokeo ya kura kadri watu wanavyopiga
 
Anayeteua NEC,wakurugenzi wa halmashauri na wale jamaa wenye idara yao iko ofisini mwake ndiye
 
Point yangu ni kwamba now tunajua vyama pinzani asilimia kubwa hawana permanent office, hawana magari ya kutosha hawana vitegea uchumi kama ccm xo hivyo wanaweza establish vp
 
Lissu hata ubunge hawezishinda!! Lema ndio kabisaaa alibebwa na upepo ila saivi pametulia watu wakimpima hawezi pewa ubunge popote
 
Duhh!kumbe wamarekani ni wajinga nilikuwa sijui?
 
Point yangu ni kwamba now tunajua vyama pinzani asilimia kubwa hawana permanent office, hawana magari ya kutosha hawana vitegea uchumi kama ccm xo hivyo wanaweza establish vp
Nyerere alipochukua Nchi Chama chake kilikuwa na majengo na magari mangapi ?!!!!
Hiyo ni hoja dhaifu !
 
Mwaka huu haitawezekana! Chadema hawapo kwenye utulivu.! wajipange 2030 kuna mageuzi makubwa Sana! Historia inaenda kuwekwa! Huyu LISU akipita hapa hiyo 2030 anachukua URAISI!
Tupe ufafanuzi wa utafiti wako maana seems unaongea kama mtangaza matokeo ya uchaguzi
 
Unajiliwaza sio, hujampata demu siku nyingi eti? Achana na ndoto za alinacha!! Urais hakuupata Lowasa na Mrema, aje aupate hicho kijitu chenu!!!
Usiyempenda ndo Amiri Jeshi Mkuu in waiting
 
Kwa hiyo Lisu naye ni mnyama au ndo vila unaumia mlishindwa kumuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…