Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

Sabaya kakiri kutenda hayo kuwa alikuwa anatumwa na mamlaka yake ya uteuzi, Mbowe amekiri wapi na amefanya ugaidi wapi? toa ushahidi
 
Watanzania tujifunze kufuatilia mambo na kuweka kumbumbu, Jaji Mkuu Chande (mstaafu) alipokutana na Rais Magufuli (mwendazake) alilalamika kuwa vimemo vinavyoelekeza maamuzi ya kesi vinawapa wakati mgumu majaji, tungeweka kumbukumbu tusingehoji au kushangaa yanayotokea.

Rais aliyemuapisha Jaji alithibitisha kuwa Mbowe alitenda kosa, sasa kiutawala mkuu wako wa kazi akithibitisha wewe hauwezi kuutengua uthibitisho huo.
 
Ni mahakama ya ovyoooooo.....hata asiyesoma sheria .....hata mawakili wa serikali waliokuwa wanasimamia kesi kina Nassoro wamecheka sana kituko cha jana
 
Ndio maana baada ya ile hukumu ndogo ya kesi ya jana nimeamua kupeleka matumaini yangu kwa majaji wa mahakama ya rufaa, hawa kuwa watatu kwenye kuamua kesi naona kuna namna wanatengeneza ugumu kwa mamlaka ya nchi kuwatongoza kwa vyeo au vyovyote vile.

Mahakama ya rufaa kwa msimamo wake mpaka sasa imekuwa ndio last resort ya kukimbiliwa na wanyonge wa nchi hii, kesi ya Mbowe kilichobaki kwa sasa baada ya yale maamuzi ya jana ni kusubiri tu hukumu, tuone atafungwa miaka mingapi na hawa majaji wa kutengeneza.
 
Hata huko kuna watu wana ambition ya kuteuliwa Ujaji mkuu, kwa hiyo wanatongozwa kila mmoja kwa kupewa ahadi feki
 
Hata huko kuna watu wana ambition ya kuteuliwa Ujaji mkuu, kwa hiyo wanatongozwa kila mmoja kwa kupewa ahadi feki
Niseme ukweli, binafsi bado naiamini mahakama ya rufaa kwenye kutoa maamuzi ya haki, mpaka pale watakapofanya vinginevyo ndio imani yangu kwao itaondoka.
 
Shida kesi ilishaamuliwa na hangaya.

Kumbuka alisema wenzake na mbowe washaanza kutumikia kifungo.
 
Shida kesi ilishaamuliwa na hangaya.
Kumbuka alisema wenzake na mbowe washaanza kutumikia kifungo.
Hangaya ameamua kesi kwenye hii mahakama ya sasa, nasubiri mahakama ya rufaa nione kama maamuzi ya Hangaya yataendelea kutawala.
 
Hapo ndipo kwenye tatizo[emoji115]
Kweli kabisa, na kwa bahati mbaya wafuasi wa Mbowe wanafanya makusudi kabisa sio kwamba hawajui wanajua vizuri ila wanaamua kuchafua utaratibu wa mahakama kwa makusudi kwa nia ya kuishinikiza mahakama iamue kama wanavyo taka wao sio kwa mujibu wa sheria na ushahidi uliopo!!

Sasa wakiachiwa waendelee na mchezo wao huo mchafu wa kuchafua utaratibu wa mahakama ktk kutoa haki ni hatari.
wanataka kuleta siasa zao ktk vyombo vya kutoa haki hilo sio sawa, wanapaswa wakemewe haraka sana.

Vyombo vyetu vinapaswa viwe imara kamwe visikubali kuhadaiwa na genge hili la mtuhumiwa Mbowe.

Ni watu wa ajabu sana! mara leo wanasifia Mahakama, kesho wanaiponda! mara leo wanasifia Jeshi la polisi mara kesho wanaliponda, mara Magereza n.k wnahadaa, vyombo msikubali kuhadaiwa na hili genge.
 
Lakini siyo kila maamuzi ya mahakama yanakuwa yametenda haki kwa aliyestahili kupewa.
Bali sheria inatumika kujustify hukumu.

Kusema utii kwa kila hukumu si sawa. Ndiyo maana huwa kuna rufaa zinashinda.

Binadamu ameumbwa na akili & utashi
 
Lakini siyo kila maamuzi ya mahakama yanakuwa yametenda haki kwa aliyestahili kupewa.
Bali sheria inatumika kujustify hukumu.

Kusema utii kwa kila hukumu si sawa. Ndiyo maana huwa kuna rufaa zinashinda.

Binadamu ameumbwa na akili & utashi
Ukimuuliza wakili kibatala; kwa taaluma yake atakwambia ameyapokea maamuzi ya mahakama japo hayakumridhisha. lkn anajua kuna nafasi nyingine ya kukata rufaa, sio kubeza na kudhihaki maamuzi yaliyo tolewa,kufanya hivyo ni kuchafua mchakato wa kutafuta haki.

lkn pia ifahamike Mahakama haipo pale kuridhisha upande wowote ule bali ipo kutoa haki kwa kadiri inavyo ona sio kwa kushinikizwa na upande wowote ule.

Genge la Mbowe halipaswi kushinikiza maamuzi yafanyike kama walivyo tarajia vivyo hivyo kwa wengine.
 
Hapo kwenye kutoa maamuzi kwa hisia, eti 'kwa mtazamo wangu' bila kifungu cha rejea…. ni upuuzi mwingine.
 

Mdude alivoachiwa na Sabaya alivowekwa ndan ilitenda haki au sio
 
Nimetamani hadi kupata statistics za mahakimu na majaji wa Tz walifariki na wakaenda mbinguni ILA sijui nitazipata wapi!
 
Mdude alivoachiwa na Sabaya alivowekwa ndan ilitenda haki au sio
Angalia picha pana kwenye precedence ya maamuzi yanayowekwa hasa katika kesi ambazo ni dhahiri unaona Serikali imekamia.

Ukipin point kesi mbili tatu ili kujustify uminywaji wa haki unakuwa unalose focus

Kutoka kwa Mdude kimsingi ni kwa sababu Samia mwanzoni mwa utawala wake alionyesha muelelekeo wa haki na mahakama nayo ikajitune katika muelekeo huo, baadae aliposhauriwa awaminye wapinzani, na mahakama nayo inabehave kama anavyotaka yeye kwa sasa
 
Mnafiki wewe na genge lenu.
 
Goigoi katika ubora wake.. kwani wakili msomi kibatala anasemaje?
 
Hoja zako znaonesha jinsi gani unaendeshwa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…