Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

Pale Rais alipomtei mwajiriwa wa TISS kuwajaji mkuu, ndiyo ulikuwa mwisho wa mhimili wa mahakama. Leo hii:

1) jaji mkuu afisa wa TISS

2) Msajilo wa mahakama afisa wa TISS

3) Jaji kiongozi afisa wa TISS

4) Majaji wengi walioteuliwa wakati wa marehemu, pamojana aliyemhukumu Sabaya, ni maafisa wa TISS.

5) Naibu speaker TISS

Mihimili yote imevurugwa. Tuungane wote kupata mfumo mzuri wa utawala.
 
Kwahiyo waliofurahia kifungo cha Sabaya hawakuwa sahihi maana huenda kaonewa au sio?
Sabaya alikuwa na makosa lakini hukumu ile ni ya kumkomoa kwa kumdharau Samia akiwa makamu. Na aliyemhukimu ni agent wa serikali/samia, siyo mahakama, japo wengi hawakujua.
 
Kashauria na nani ? leta ushahidi hapa wa hilo shauri
usitake kujifanya unajua kila kitu wewe kichwa panzi au wewe ndio umemshauri?
 

Kama Pilato haiyumkiniki jaji Siyani hakulala vyema usiku wa jana.

Laiti ungefahamu usingekuwa hapa na huu utopolo.
 

Yupo kwenye rekodi jaji mkuu akiwataka majaji na mahakimu kutotembelea kwenye mitandao ya kijamii.

Kwao matumbo yao ni kipaumbele. Si haki.

Siyani ameonyesha kwa vitendo.
 

ivo ni tuseme pia hukumu ya sabaya imeangukia wakati mahakama haitendi haki, kwahio ni batili pia
 
Hangaya ameamua kesi kwenye hii mahakama ya sasa, nasubiri mahakama ya rufaa nione kama maamuzi ya Hangaya yataendelea kutawala.

Kumbuka hukumu za kesi za mapingamizi hazikatiwi rufaa.
 
Vipi kuhusu Ile kauli yakuwa msihukumu kufuata sheria fuata mihimili mingine inasema nini
 
Haki na uhuru wa mahakama kwa Sabaya, akiguswa Mbowe hakuna haki wala uhuru wa mahakama. Fools.
Matendo ya Sabaya utafuti ushahidi.Kwa akili ya kawaida tu Mbowe angekuwa ni gaidi magufuli angemuacha kweli?Miaka 6 ya Utawala wa magu ilikuwa ni ya kupambana na mbowe,mara anunue wapinzani,amtumie sabaya,amtumie byakanwa kuharibu Shamba lake,kabomoa bilcanas kwa chuki tu hadi leo ni gofu,kamfunga kwa kumsingizia ishu ya akwilini.awe gaidi angemuacha kweli? kama Manji tu alishughulikiwa kwa hisia tu sembuse ugaidi.
Nani anaweza waamini hawa tena kama waliweza wabambika kesi mashehe wa uhamsho na wazee wa escrow na kuwaweka ndani miaka bila kosa lolote wanashindwa vipi kumkamata yeyeto anayehatarisha maslai yao na kumuweka ndani mda wautakao.
Labda kama huo ugaidi alitenda baada ya magu kufa.
 
Ifike mahali Vyombo vyetu vinapaswa kukemea tabia hii ya wafuasi wa Mbowe kutaka kushinikiza Mahakama

Vyombo vya kupikia au kulia!
unatetea wapuuzi wasio jitambua!
Siku zenu ccm zinahesabika kama utawala idd amini.
Siku mkifa mtakosa hata wakusogelea miili yenu..
mnaua, mnatesa, mnaiba!
 


Ficha umburula wako jombi
Hapa umeonesha ujinga wako wa kutozingatia kile unachosoma. Hebu soma vizur post yang afu urudi kwenye huu utumbo ulioweka hapa. Boganza anasema kuwa kuna wakati mahakamani kunaweza kukosekana haki ndio maana na mimi nikashangaa watu kufurahia hukumu ya sabaya bila kujua kuwa haki ilitendeka au haikutendeka kumuhukumu. Afu ww na kiwewe cha mahaba yako kwa Mbowe umekimbilia kupost yale yale niliyomaanisha. Sasa hii ni akili au matope!!
 
Vipi kuhusu Ile kauli yakuwa msihukumu kufuata sheria fuata mihimili mingine inasema nini
Ni kauli ya kuikitisha sana.

Kiufupi Jaji mkuu anaagiza majaji nchini wafanye maamuzi kwa kufuata"wakubwa" wanachotaka badala ya sheria inavyotaka.

Hatuna Jaji mkuu pale, tuna mtumwa mwaaminifu wa serikali!
 
Wewe ni wale wafuasi wa yule Makengeza aliyeko mahabusu! Acheni unafiki ni lini binadamu akatoa haki? Juzi hapa Sabaya afungwa miaka 30! Ok hakuna tatizo nyinyi kikundi cha Chagadema mnakuja kusema tena leo mahakama haitoi haki? Juzi mmeshinda mnakuvywa bia mbaya wenu kafungwa! Mbowe sisemi kama ni gaidi iachieni nafasi mahakama kama ilivyokuwa kwa Sabaya!
 
Mimi mbona nikishashtuka mda mrefu,humu jf Kuna watu wapo kwenye paylor kila mwezi ,ili tu kupotosha ,na kutaka kushinikiza mahakama iamue jinsi watakavyo kuhusu kesi ya ugaidi ya mbowe!!.
 
ivo ni tuseme pia hukumu ya sabaya imeangukia wakati mahakama haitendi haki, kwahio ni batili pia
Sabayani kwelianamakosa ila nakuhakikishi hukumu yake inashikizo ndani ili kumukomoa Sabaya! Na usishangae ipo siku sabaya akawa huru!
 
Mkate!
 
Mdude alipotolewa walimbeba juu juu na kumwaga kila aina ya mapambio kwa Samia, mara anaupiga mwingi na ujinga ujinga kibao!! Now Mahakama imetupa maombi yao ni matusi kwa serikali na Samia kila kona!! Siku DPP akifuta kesi watakuja tena kumwaga mapambio kwa Samia na kumtukana JPM!! Kuna watu hawajielewi kabisa
 
Ukiacha,kesi ya katiba(mgombea binafsi ambapo mahakama yarufani ilikimbia kutoa uamuzi ) ni kesi gani nyingine ya kisiasa hukumu yake iliwahi kusimama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…