Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa

The rest hamna kitu

Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela

Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa

Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.

Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu

Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
 
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,

Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,

Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!

View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg

Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini

Britanicca

Sometimes kuna sehemu unaalikwa ili ujue your place !
 
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,

Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,

Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!

View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg

Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini

Britanicca

Walimpa ahutubie muda walioturudisha studio kwa matangazo?
 
Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere, Mkapa, na Kikwete tu

The rest hamna kitu

Kikwete nilimkubali kwenye msiba wa Mandela

Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi??

Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa rais wa nchi

Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu

Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Nyerere na Mkapa. Basi waliofuatia wote walikiwa tu bendera fuata upepo hawana heshima
 
Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,

Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,

Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!

View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg

Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini

Britanicca

Hii imenishtua sana. Nadhani next time tugome Rais wetu asiende.maana ni kama kumdhalilisha kabisa.
 
Back
Top Bottom