Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tena kaenda kuomba hata siyo mjumbe na kaenda na watu wengi kuliko hata nchi tajiriSasa mtu umeondoka kwako umeacha msiba kisa tu uwahi kikao huko majuu.
Hao jamaa wamemdharau,hakuna haja ya kukwepesha maneno.