Si mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere na Mkapa
The rest hamna kitu
Kikwete angalu alijitahidi kwenye msiba wa Mandela
Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi kabisa
Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa Rais wa nchi.
Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu
Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!