Kuna wazo linaniingia akilini kukuhusu wewe.Nitarudi
Nipoteze muda wa kumweka kijana 'intern', apitie michango yako humu JF; na hasa kumhusu huyu, na kuifanyia udadavuzi kuelewa akili yako ilivyo lala kwa sehemu kubwa unapo changia. Jikumbushe vimistari miwili mitatu ulivyo andika wakati akiondoka kwenda kwenye mkutano huo.
Sasa sina hakika, kama kazi hiyo ya huyo kijana itakuwa na manufaa yoyote!