britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
ongea tu mkuuI prefer not to speak, If I speak I will be in trouble
Sometimes kuna sehemu unaalikwa ili ujue your place !Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Walimpa ahutubie muda walioturudisha studio kwa matangazo?Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,
Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula,
Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo!
View: https://x.com/swahilitimes/status/1858937943106159057?s=46&t=wVwOX7Oilw0E0zILKPC7xg
Ningekuwa Rais ningesema kwanza Naomba msikilize nasema nini
Britanicca
Nyerere na Mkapa. Basi waliofuatia wote walikiwa tu bendera fuata upepo hawana heshimaSi mnapenda kujikomba nchi hii diplomasia na ushawishi kwenye mikutano mikubwa aliweza Nyerere, Mkapa, na Kikwete tu
The rest hamna kitu
Kikwete nilimkubali kwenye msiba wa Mandela
Nyerere alikuwa akihutubia UN wazungu wanasimama na kumpigia makofi??
Mkapa alikuwa na hotuba zilizonyooka alikuwa amepikwa kweli kuwa rais wa nchi
Mwinyi, Magufuli, Samia Hawa kwenye hotuba hamna kitu
Hotuba inahitaji ipitiwe na ichakatwe na wataalamu sio unaamka tu una hasira na mmeo au mkeo unaanza kuongea mambo ambayo hayapo hapo ndio tunapofeli hakuna mtu atakusikiliza!!
Hii imenishtua sana. Nadhani next time tugome Rais wetu asiende.maana ni kama kumdhalilisha kabisa.Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio,