Ni DJ gani unakubali/haukubali playlist yake iwe kwenye Redio au Club?

Deejay Dea ni balaa.. Beat matching zake sio za kitoto.,na hata scratching yake sio mbaya kivile,

DJ ambaye ana playlist mbaya ni dj summer! Jamaa ana scratch fresh ila playlist anawekaga mbaya kusema ukweli. Labda akiwa Club anafanya powa
Dea hatabiriki leo anapiga fresh kesho anaboronga. Kuna jamaa alikuwa kissfm mwanza anaitwa dj davy hakuwahi kuboronga hata siku moja akaja dj willy b naye noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madj wa mikoani wakali sana mzee kwa mfano kg the dj, dj timba, dj virus kuliko wapiga maembe flan wa jijini pia mwanza ni wakali kuliko wa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamzungumziaje yule jamaa anaejiita intaneshno dj

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo vizuri,kitendo cha yeye kujiita international kumefanya akaze,kabla ya kuanza kuporomosha mangoma jamaa huwa anazama chimbo na kutafuta ngoma zitakazoendana na hcho kipindi au event anayopiga,Kwa kifupi bado anajifunza

Ukimuangalia D ommy wa kipindi kile na wa sasa tofauti...(kabla ya kuchukua Ile tuzo na baada) ninaamini km hatolewa sifa atafika mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Dj Nelly wa kipindi vha Ngomakali za zilipendwa zinarushwqga Channel ten namkubali kinoma
 
Dea hatabiriki leo anapiga fresh kesho anaboronga. Kuna jamaa alikuwa kissfm mwanza anaitwa dj davy hakuwahi kuboronga hata siku moja akaja dj willy b naye noma

Sent using Jamii Forums mobile app
Dj Davy bwana daaah, yule jamaa anajua anajua sana, Dea yuko poa namsikiliza sana usiku ila kuna siku unaona mwenyewe jamaa kapwaya, ila ni mkali
 
Dah kuna dj alikuwepo kwenye kipindi cha kiss collabo mix show cha kiss Fm nadhan anaitwa Dj devy jamaa ni mkali hatarii kibongo bongo ndio dj akipiga nyimbo lazima mwili unisisimke na kuanza kuenjoy... Kwa upande wa club kuna jamaa yupo club moja sumbawanga inaitwa M the best anaitwa dj Yt professional nae namkubali sana hadi mixes zake huwa nadownload ☺☺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…