KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Kada😃😃Niwe ndani ya Land cruiser 300 series yoyote ile nimevaa zangu kaunda suit ina kale ka alama ka nembo ya Tanzania alafu mbele kwenye bonnet nimeweka bendera ya Tz upande mmoja, upande mwingine bendera ya chama
What more could i ever wished for myself?
Its not costly to dream js dream my friendKuna wakati naiwaza Amarok ila nawaza ntaweza maintanance expenses kweli?
Nawaza kupata V8 Vx ila najiuliza nasikia hadi taa za mbele zikivunjika tu nitafute milioni moja ya repacement jamani😭😭😭
Si bora niiwaze gari ya kawaida tu kama Toyota Rav4 tu ambayo haitanipa presha halafu niifosi kuwa dream Car😘😘
Ni ford everestView attachment 3063648
Nishajiambia
"One day yes"
Hii gari huwa inanitoa udenda kila nikiiona
I love you ford ranger Everest😘
Hapo hapo mkuu kumbe tupo wengiSuzuki Jimny 5-Door
Same to me ,nikiokota pesa lazima nivute Range Rover Autobiography kama ya Zamaradi Mketema au Davis Mosha au Chief Godlove.Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
basi nichagulie gali gani zuri...ningependa range rover ila uwkeli ni kwamba sitaweza kumiliki maishni mwanguNatamani nikuambie chagua nyingine ila nikakumbuka ndiyo chaguo lako😀
Sina sababu ila zimenichosha kuziona barabarani naona vijana wengi walizikimbilia
Ona hili ni 27m la mwaka 98Starlet EP90 Glanza View attachment 3063548