Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Huyu mnyama huyu acha tu..ipo siku
 
mimi ni chizi magari yakhee!
*Jeep wrangler ya mwaka huo huo nitakao pata pesa. ile ni gari ya kiume haswa! chaka tu pori.
*mercedes benz ya mwaka huo huo nikiokota pesa. ile ni kama $UIT kamwe haichuji, hii ni kwa ajili ya kujivinjari na mal*ya wangu.
*land cruiser LC 300, hii ni kwa vikao maalumu.
*Ford Ranger hii kwa ajili ya FUJO tu mjini.
hivi vigari uchwara vya kijapan ntawapa ndugu zangu wa kike ili wasinchonganishe na wifi zao.
N.B.
hii yote ni KAMA.
 
Yoyote, ila iwe, economical, comfortable, user friendly, safe. Hapo tutaelewana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…