Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
G Wagon na Ford Ranger Ranger.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, dola 30? Mbona nimepata kigugumizi kukubali?Zimetoka 2024! Bila kodi zinauzwa mpaka dola 30
Hahaha I mean dola elf 30.Mkuu, dola 30? Mbona nimepata kigugumizi kukubali?
Huyu mnyama huyu acha tu..ipo sikuNajua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
Aise itakua vyema sana niione mashineHapa Sina picha Kaka na pia niko mbali na nyumbani ila Kama nikirudi ,naomba nifanye hivyo ndugu Kama hautajali
Yoyote, ila iwe, economical, comfortable, user friendly, safe. Hapo tutaelewana...Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.