Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetaja Corolla nimejikuta nafurahia sana ,fanya mpango uje uione Corolla yangu Mbeya ilivyo nzuri na pia Corolla pekee mkoa mzima yenye number plate ya jina langu la ukoo.Carina ti corolla 100 au 110 na premio old model... gari zangu pendwa
🤣🤣🤣🤣 ushamba utakuua muda mwingine ingia hata google uzijue unakuja kukanusha hakuna ww ndiye mtengenezaji?Hakuna Jimny ya 5 doors.
Hahaa sawa sawa.. Ninazo premio.. ila sasa hivi nataka nijipange nipate mpya ya kuagiza.. zinakuwa na kodi kubwa sababu ni gari za zamaniU
Umetaja Corolla nimejikuta nafurahia sana ,fanya mpango uje uione Corolla yangu Mbeya ilivyo nzuri na pia Corolla pekee mkoa mzima yenye number plate ya jina langu la ukoo.
NB : kupitia gari hii naheshimika mpaka na mkuu wa mkoa mpaka. vijana wa UWT chini ya ofisi ya mkuu wa mkoa .
Hivyo napenda kukupa hongera kwa kuchagua kilicho Bora Ila kukutia moyo kuwa endelea kupambana unaweza kumiliki Corolla 100
Dahh upak8 tenaSubaru Forester maana ilikatisha maisha ya Brother wangu natamani na nitainunua Mungu akipa uzima.
Nataka kuinunua kisha nitembee nayo mpaka Kigoma alafu nikirudi niipark niwe naitazama tu.
Kumbe ndotoni, hongeraHarrier Anaconda ya 2023. Yale macho yananikosha..iwe nyeusiii
Audi Q5 iwe nyeusiii
BMW X5 iwe nyeusiii
Nissan xtrail ya 2024 iwe dark blue 🔥
Naziendesha sana ndotoni hizo gari 🥰
Ukifanikiwa naomba uniambie utakapokuwepo niilete tupige picha ya pamojaHahaa sawa sawa.. Ninazo premio.. ila sasa hivi nataka nijipange nipate mpya ya kuagiza.. zinakuwa na kodi kubwa sababu ni gari za zamani
Habari za kodi za uchakavu wala zizikuumize kichwa! we nunua unachopenda, hata ukinunua hayo yasiyo na kodi ya uchakavu bado utabanwa kwenye bei ya manunuzi!Hahaa sawa sawa.. Ninazo premio.. ila sasa hivi nataka nijipange nipate mpya ya kuagiza.. zinakuwa na kodi kubwa sababu ni gari za zamani