Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Naam, tunaomba experience yako
Gari nzuri kwangu sawa, mtu ananunua gari kutoka na tamaa ya moyo wake na kiwango cha pesa alicho nacho. Naamini gari zinafaa ndio maana zinazalishwa viwandani na zina watumiaji kwa madaraja tofauti tofautu kutokana na vipato
 
Hiyo gari inashida. Kaitengeneze.

Ndo mtu wa kwanza nasikia una hii shida.
 
Na thermostat yake. Hapo na ufundi na coolant andaa 1.5 kwa zile sio OG kwa OEM andaa 2M.

hapo dashboard imejaa kila aina ya taa unayoijua.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nakuelewa vizuri Sana man, I've been there Hahah.

Inataka uwe car enthusiast kweli kweli kuivumilia.

Naona mzee unai-miss RunX yako lkn kwa utamu unaoupata Kwenye bimmer, unaona it's worth it.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Nakuelewa vzr Sana man,I've been there Hahah.

Inataka uwe car enthusiast kweli kweli kuivumilia.

Naona mzee unai-miss RunX yako lkn kwa utamu unaoupata Kwny bimmer,unaona it's worth it.
Runx gari aisee. Yaani tatizo kubwa ni kubutuliwa na madaladala tu ila sio miti ya xmass.

Bimmer tittle. Kuitwa β€œwe mwanaume” kawaida ila maumivu unayopata sio kidogo.
 
Kwa experience yangu ya kuwa na magari, hakuna gari rahisi kuimaintain na kudetect na kutambua tatizo kama hizi za Germany, kwa Tanzania BMW ni rahisi zaidi, changamoto ni ukitaka kuitreat kama toyota itakuumbua.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Mad Max mjomba hapa anasema mna-treat bimmer Kama Toyota aisee.
Sijui alikuwa na BMW mode gani labda langu lina mkosi. Sio langu tu, na za washkaji zangu zetu zina mikosi.

BM common sana Tanzania ni 3 series. Sana sana sahivi naona E90 za kutosha. Ambazo zina share platform na X3 1st generation E83 ambazo nazo zipo za kutosha.

Mzee bab, German engineering gari kali 5 years tu tokea likiwa jipya. Baada ya hapo umiza kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…