Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

1AZ-FSE nI engine ilioua soko la gari nyingi za
Toyota mfano Noah mayai au Voxy, Isis Platana, na gari nyinginezo ambazo zina share hio engine mfano Opa, Rav 4, AVENSIS na baadhi ya Premio.
 
Kwa experience yangu ya kuwa na magari, hakuna gari rahisi kuimaintain na kudetect na kutambua tatizo kama hizi za Germany, kwa tanzania BMW ni rahisi zaidi, changamoto ni ukitaka kuitreat kama toyota itakuumbua.

Toyota watu wanazisifia sana kwamba dashboard huwa haiwaki kama mtu wa chrismass ila this is a very bad thing.

Hivi kuna ubaya gani gari ikikualert kwamba kuna tatizo?

Imagine unaendesha gari inemwaga maji yote lakini bado haikupi alert yoyote. Mpaka lichemshe ndio uone alert.
 
Kwa mtu wa kawaida nakushauri usinunie Magari ya Ulaya, mengi mabovu, labda Volvo kwa mbali, ila wengine wote akina Fiat, Range Rover, Benz, BMW, Tuareg, Mini Cooper wote wabovu, Kwa magari ya Mjapani Nissan ndo anawaaibisha, ukitaka kufaidi gari nunua tu Toyota, ata kiwe ka Km laki moja we nunua tu, ata Visubaru we nunua tu viko frsh

Na magari ya Marekani mengi yako poa, Akina Ford, hasa Everest na Ranger,
Akina Jeep, wako vzr, japo ukinunua Cadillac iombee kwa Muumba

Magari ya Ulaya usinunue kama hayana Warrant mengi mabovu japo ukiwa nalo utahisi wewe pekee ndo mwenye gari
 
Kweli ila zina ubora ko ata ikichelewa haina shida
Sasa jaribu kuendesha AUDI maji hamna, kidogo tu utasoma namba[emoji23][emoji23]
 
Gari ninazo zipenda mimi ni Land cruiser 1hz na Alphard, hizo nazipenda bila sababu ya msingi

Kinyume na hizo sita mshauri mtu anunue sababu siwezi mshauri mtu anunue kitu ambacho mimi mwenyewe sikipendi ingawa sina sababu ya kuto zipenda ila kama akitaka mwenyewe akanunue.
 
Wazungu wasingekuwa wananunua. Tukubali tuu sisi wabongo ni watu hatufuati taratibu za service.
 
Yani hayo magari ya Ulaya unavyosema mabovu [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]wazungu wasingekuwa wananunua au yasingekuwa Yanauzwa bei kubwa
 
Kweli ila zina ubora ko ata ikichelewa haina shida
Sasa jaribu kuendesha AUDI maji hamna, kidogo tu utasoma namba[emoji23][emoji23]

Hebu angalia hii video halafu uniambie. Achana na tech ya mjerumani.


Me nmeshaendesha Audi A4 B7 kipande kirefu tu halafu lilikuwa linachemsha na halikuleta shida. This is my own experience siyo ya kusimuliwa.

Jamaa yangu aliendesha VW Polo tena huyu ndio Km nyingi kweli ikiwa inachemsha na haikuleta shida kabisa.

Sasa fanya hicho kitu kwenye toyota litazima halafu force kuwasha uone kitakachokupata.
 
Volvo kwa mbali, ila wengine wote akina Fiat, Range Rover, Benz, BMW, Tuareg, Mini Cooper wote wabovu,
Yaani hapa unaidiss mercedes benz

Akina Jeep, wako vzr, japo ukinunua Cadillac iombee kwa Muumba

Halafu hapa unakuja kuipraise Jeep.

Kuna Jeep Wrangler nyingi tu Engine na Gearbox vyote kafunga from Mercedes. Halafu bei mkasi. Halafu ndio gari inaongoza duniani kwa kutoshuka bei kama nyanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…