Spacio, Raum, Allex, RunX! !!
Mkuu kwa mimi pamoja na usafiri gari ni kama pambo pia!!!!
Allex na RunX zinakubali rims na muonekano is more sportage!!!!
Pale nyuma unatupia sound life goes on!!!!!
Kaka, karibu gari nyingi za Toyota hasa hizi zenye cc kati ya 900 hadi 2000 ni corolla. Kwa mfani Mark II, Spacio, Brevis, Camry nk zote hizo ni corolla. Kama nia yako ni kupata gari yenye matumizi kidogo ya mafuta, unachotakiwa kuangalia ni cc, ukichukua yenye cc kubwa consumption ya mafuta ni kubwa. Kwa mfano cc 2800 na kuendelea matumizi yake huwezi kulinganisha na cc 900, 1200, 1300, na 1500
Pole advantage au disadvantage ya gari inategemea matumizi yako na kama unalinganisha na gari nyingine!!!!!
Mi bado naona Wish ni gari nzuri tu kama ilivyo OPA au SPACIO kama huna mikiki na safari za njia ngumu!!!
OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.Me nakikorora mwaka wa 2 wakuu,spea mpaka sokoni napata,wese la ten nakata wiki kamata collora baba ufurahiye maisha.
OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.
Binafsi nimeshangaa halafu, Mi ninavyojua fuel consumption ipo calculated according the km(distance ) covered na sio number of days. Wese la ten wiki? No thank you teacher
Subaru Forester _Confidence in Motion
Unataka gari isiyokula mafuta basi ipe supu au mchemsho
Mkuu kwa nissan ntakudanganya bure,sijui ushamba wangu au kasumba sijawahi kutumia wala kuzifuatilia haswa mini's
Mzee ole hapo tuko wote hizo aina ulizotaja ni kiboko mi nimetumia Spacio na Raum! ndo gar zinazofaa kwa watu wenye vipato vya wastan hutojuta kuwa nayo
Mkuu lakini hizi gari zinakuwa engine aina moja 5A kama sikosei na cc ni 1490.
Anakaa mtaa wa uhuru na msimbazi kazi yake petrol station uhuru pia na siku nyingine ana locomote labda!!!!!OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.
Kuna 1332 mkuu, corolla.
Mkuu wish mbona kama mayai sana.