Ni kweli kaka ndio maana nikamwambia kama hana mikiki mikiki ya njia ngumu,say anakaa zake kinondoni kazi town au ilala kazi Nyerere road hii inaweza kumfaa! !!!
Ila akina sie hii ikimaliza mwaka!!!!!!
Frankly mimi hii labda kwa shemeji yako (no offense) mimi kama mimi naona daaaaanh
Nunua carina Ti cc 1498,ukishindwa nunua Suzuki kei cc 650.
Halafu haikawii kupoteza sura.
Tena iweke mbali na ajali!!!!
OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.
Huyo labda anaitumia kuendea kwa duka la jirani pale kwa mpemba na kurudi nyumbani.Binafsi nimeshangaa halafu, Mi ninavyojua fuel consumption ipo calculated according the km(distance ) covered na sio number of days. Wese la ten wiki? No thank you teacher
Ni body type nzuri pia ingawa inadondokea Humo humo tu kuanzia engine mpaka miguu na spea za chini!!!!!
Hizi za cc chini ya 1490 kama ndio gari ya kwanza na pekee sishauri, mzee wangu alinambiaga hivi gari hata Morogoro tu kwenda nayo inakuwa shida we ya nini????!!!
Hiyo njemba siku ikija kuonekana popote pale lazima watu waanze na usafiri anaotumia
Mkuu mfuko ukiruhusu kuingiza full tank at least mara mbili kwa wiki haina tabu hiyo....
Dawa yake ni kuitisha get together ya wana JF, kuazima gari ya mtu mwiko....unaweza kuta ni hivyo vi baby walker.
Hivi subaru forester na impreza ipi ni balaa kwa kufunguka speed? Mi nazani impreza ni noma mbaya.
Maana zile taa tu mhhh.
Dawa yake ni kuitisha get together ya wana JF, kuazima gari ya mtu mwiko....
Mkuu kama mimi chini ya cylinder 6 naona kama baby walker ya G Sam.
Kaka hizo gari zote ni moto kwa speed ila imprezza hiyo sio engine ya kuendea kazini tena!!!!!
Wrx sti, 2.5l , six speed manual hii sasa kama unataka speed jiweke humo!!!
Kaka niliwahi kuwa na nissan bluebird sss ilukuwa auto manual 6 speed we acha ukiweka kwenye manual kama una roho ndogo hurndeshi.
Unanipa picha ya Cedric Grand-Tourismo anayo mwanangu mmoja, six machine aaaaanh ile mashine mzee kwa pulling iko sawa sana na comfy vibaya sana!!!!!