shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
tunatofautiana mkuu ila maadili ya jamii na dini zote yanasisitiza binti kujitunza.labda mim mshamba au sjui ni hulka ila mpaka umri huu sjajua umuhimu wa bikra when it comes to sex naona kama nakua mwalimu wa darasa la kwanza naanza kufundisha a e i o u...
Kwa akili yako ndogo unadhani pesa inathaminishwa kwa utu na malezi ya binti wa watu?Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,
Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa
Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.
je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
kwel mkuu tumetofautiana kwenye hilo na kila mtu ana machaguo yake.tunatofautiana mkuu ila maadili ya jamii na dini zote yanasisitiza binti kujitunza.
Mwamke "hujamuoa" utajuaje kama ana bikra au la? Na kama umembikiri mwenyewe kabla ya kumuoa utakapokuwa unamlipia mahari "atakuwa bado bikra"?Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,
Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa
Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.
je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
Sasa mtani wangu, wanaume wenyewe (baadhi yenu) ndio mnavirubuni hivi vibinti mnavichangamsha kabla ya umri, halafu nyinyi ndio mnasema si halali kutoa mahari kwa binti asiye bikra.Kwa kweli siafiki kabisa mahari kwa mtu asiye bikra, unalipa vipi kitu ambacho hakina ubora wake.
Dhana ya mahari kwa zama za kale ilikuwa na maana kubwa sana na haviendani na kile kinachofanywa kwa sasa.
Kuna bikra ya kitunguu na bikra andazi [emoji85][emoji85]Hii mpya ndugu, hebu nihabarishe, bikra mbili ni zipi hizo?
Hahaha poapoa mkuu, japo hiyo ya mbele ni adimu sana zama hiziile maarufu ya mbele.
Zamani wakati tunaoa[emoji12] ile jioni baada ya sherehe kitandani walikuwa wanatandika shuka jeupe na kuwapa maharusi uwanja na kusubiri shuka lichafukwe na damu then asubuhi wanaonyesha hadhara matokeo.Sasa mtani wangu, wanaume wenyewe (baadhi yenu) ndio mnavirubuni hivi vibinti mnavichangamsha kabla ya umri, halafu nyinyi ndio mnasema si halali kutoa mahari kwa binti asiye bikra.
Mahari ina vipengele (kwa wale wanaotoza kimila) kuna kipengele cha "Zawadi ya mama kumtunza binti) I kikataeni hicho kipengele kama binti sio bikra, mtoe hiyo nyingine. Maana kuishia kulalamika haitasaidia. Ni maoni tu mtani.
Haya ni mashambulizi sio jibu mkuu!! ebu mjibu tafadhari.Maongezi ya kutafutia ucngz haya. Emb nikuulize, maana umenizindua, litaka kucnzia.
Ukishabikiri nini kinafuatia? Acha hiyo mahari 2ml. Watu wanajenga mahekalu kuhonga ama kwa lugha nyingine 'kuboresha penzi' huwa wanawajengea mabikira kuwatolea shukrani, ama ninini kinawasukuma kuangukia?
Af wewe wa wapi?
Pwani penyewe kwenye msemo wa 'harusi imesema' huwa unachezwa mchezo pale hata mtu ashazaa, harusi husema! Hata huyo mchumbaako akitaka hata kesho unambikiri.
Hivi wewe mbumbumbu wa mapenzi, ukioa bikra ndiyo hatakusaliti akawa wa kwako daima dumu? Ama ukitoboa unapata raha gani labda?