Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Kwani unalipia mahari bikra?
If yes kalipie za watoto wa watu uliowalala tangu enzi za kimama na kibaba.
Nadhani angekuwakaufanya huo mchezo asingekuwa analalamika hapa unless una ushahidi kwamba aliushiriki ndio umwagize hivi.
 
Kuna raha yake aisee kuoa Bikra,.....hamu ya kuchepuka inakata.....una mheshimu na kumthamini mkeo kuliko yeyote.....Mwanaume ukipata mke bikra unakuwa na huruma sana kwake.....hata akikufanyia kosa utamsamehe kirahisi tu maana ukikumbuka alivyojitunza kwaajili yako, unapata kaufahari flani.

Lakini kuoa Used material yakupasa uwe na moyo!....Ukivuta picha kuwa alikuwa mtu wa 'blow job', alafu wewe ukalipe mamilioni kama mahari dah! noma sana.....Inabidi ucalculate depreciation cost.
 
Acha hizo kaka, wewe nawe bikra? Hizo bikra wanatolewa na miti?
 
Nadhani angekuwakaufanya huo mchezo asingekuwa analalamika hapa unless una ushahidi kwamba aliushiriki ndio umwagize hivi.
Wewe unamsemea kama nani?
Nilijua yeye ndio kajitetea hajawahi ,kumbe ni wewe.
Tulia ajibu mwenyew.
 
Kwa kweli siafiki kabisa mahari kwa mtu asiye bikra, unalipa vipi kitu ambacho hakina ubora wake.

Dhana ya mahari kwa zama za kale ilikuwa na maana kubwa sana na haviendani na kile kinachofanywa kwa sasa.
Hapa waliogawa bikra kabla ya ndoa watatokwa povu tu ila ndo ukweli mahari na bikra ni vitu vyenye uhusiano wa karibu sana. Halafu eti anauliza kama mwanaume naye ni bikra kama vile mwanaume naye huwa analipiwa mahari!! Kama uligawa bikra kamuombe hela uliyemgawia, wenzenu wajanja mbele wanaziuza kwa hela ndefu (gugo hiyo ujionee).
 
mkuu hujui thamani ya bikra wewe
shalet wala usijari wewe muache ataolewa na ambao hawataki bikra tena watamuonga hadi gari nyumba etc. kumbuka na dada zako hawana bikra. shalet nimekushangaa sana una maneno makariiiiii hivi? scra.......
 
Kwani wapi kaidai? Kaoneshwa tu kutokuridhika kulipia mahari kitu used. Kama yeye hailipiwi mahari kwa nini mwanamke alipiwe!!
 
Wengi wameolewa na machenza ndoa zao wameshindwa uzitunza. Na wangapi wameolewa wan chungwa na mpk ss
asa ndoa zao zinadunda?
Hizi ishu huwa hazina uhusiano. Kama mtu ni bikra akaolewa akashindwa kutunza ndoa haina maana kwamba angeolewa bila bikra ndo angeweza au kinyume chake. Kifupi huwa sioni mantiki ya kulinganisha haya mambo mawili
 
Kwani unalipia mahari bikra?
If yes kalipie za watoto wa watu uliowalala tangu enzi za kimama na kibaba.
Teh teh, halafu wazazi wenu wanataka mahari kubwa, wakati hakuna kitu. Mahari is directly proportional to bikra, huna bikra unataka mahari ya mamilioni! I'll always be against mahari, haswa kwa kizazi chetu kilichokengeuka.
 
Wewe hujaelewa mada. Ishu hapa ni kulipia mahari
 
Eti nataka yote atoe mwenyewe, wewe huoni aibu mwanaume mzima kutolewa mahari na mwanamke? Sasa hapo utakua umeoa au umeolewa!!? [emoji57]
 
Eti nataka yote atoe mwenyewe, wewe huoni aibu mwanaume mzima kutolewa mahari na mwanamke? Sasa hapo utakua umeoa au umeolewa!!? [emoji57]
Aone aibu kwa lipi? Hapo katolewa mahari au kachukua mzigo bure?
 
Kwa kweli siafiki kabisa mahari kwa mtu asiye bikra, unalipa vipi kitu ambacho hakina ubora wake.

Dhana ya mahari kwa zama za kale ilikuwa na maana kubwa sana na haviendani na kile kinachofanywa kwa sasa.
Ukimpata mwenye bikira unaongezeka kitu gani?
 
Teh teh, halafu wazazi wenu wanataka mahari kubwa, wakati hakuna kitu. Mahari is directly proportional to bikra, huna bikra unataka mahari ya mamilioni! I'll always be against mahari, haswa kwa kizazi chetu kilichokengeuka.
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…