He he he! ukute mtu alioa 'used equipment' kwa mahari ya 5M na hajawahi kumtoa mtu bikra, lazima atamani kummezaa mtu.mkuu unawapa hasira wadau waliooa used kwa gharama.
sory kwa maneno makali best, kweli dada zangu 2 hawana manake wamezalishwa wako home wala hatumshikii mtu bunduki awaoe wala hatudai mahari kwa mtu wakitaka wabaki wawe mahousegirl home wakitaka waende kwa masharobaro wao kwetu hatujali.shalet wala usijari wewe muache ataolewa na ambao hawataki bikra tena watamuonga hadi gari nyumba etc. kumbuka na dada zako hawana bikra. shalet nimekushangaa sana una maneno makariiiiii hivi? scra.......
mkuu mie nagharamia harusi, mzigo feki nitoe 2m ya nini yeye anataka kuchangia 1m kiharakisha mambo ila namsilikizia mpaka aweke mezani mzigo wote.Eti nataka yote atoe mwenyewe, wewe huoni aibu mwanaume mzima kutolewa mahari na mwanamke? Sasa hapo utakua umeoa au umeolewa!!? [emoji57]
ikaenda wapi after 28?Je kabla ya kumpata uliwahi kukutana nayo? je ulimuoa? mie nilijitunza hd miaka 28 na sikuolewa inawezekana aliniacha mie akaenda kwa screpa.
Huwezi kuelewaUkimpata mwenye bikira unaongezeka kitu gani?
Wewe ndiye unapaswa kutulia kwenye hili.Tulia usome na kuelewa vizuri alichoandika mleta mada.
Wewe kwa akili yako kila mtu katoa bikra ya mtu?! Kuna wengine hawajawahi kukutana na hizo bikra, sasa kwa nini wakulipie wewe mtoa bikra? kama huwa unatoa uwe unalipia kabisa ili hao wanawake wakija kuolewa waolewe bure tu. Na kutolipa mahari ni kudhalilisha kivipi kama penzi wanatoa wenyewe bila kulazimishwa?Usikariri mkuu...
mada inahusisha "mahari" na "Bikra"
unavyojipo "QUOTE" za watu fungua akili na ufikiriee kwanza
Kwanini mnakua wakumu na kuegemea upande mmoja?
Bikra tuwatoe sisi bado tuwadhalilishe kwenye swala la kuwaoa?
Ushaishiwa hoja wewe. Unajua kwa nini hii ni forum? Anyway I am out. Hustahili hata kujibiwa wewe.We mbona kiherehre? Mwache ajibu mwenyewe yeye si anataka kulipiwa mahari mwache alipiwe basi!!!
Watu wameoa vitu used wana hasira balaa. Na hata wale waliong'olewa bikra na miaka 12 nao si haba. Halafu eti utasikia kwani unaongezeka nini ukipata bikra teh teh teh.mkuu unawapa hasira wadau waliooa used kwa gharama.
Na hilo neno,toa boriti kwenye jicho lako ndo uone kibanzi.......Kwani wewe ni bikra?
KabisaDaah..hata huyo unaemuoa atapata shida..ajue kwamba hana mume..si kwa dharau hizo..kumuita mwenzio screpa