Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Doh pole sana dada yangu, wewe inaonekana ata aliyeitoa umkumbuki. Lakini usiogope unaweza ukabahatisha kumpata zuzu ukamshikisha hiyo scraper na akailipia mahari.
 
Kuna dada mmoja aliniganda nimuoe ila stori zake nilizozisikia ana msururu wa wanaume kama 30 hivi waliompitia,nikaona haya ni majanga nikatoka nduki,akaja kumpata jamaa moja hivi,dada alijigharamia mahari yote.wanawake nyakati hizi wanateseka sana ila kwa wasio na makando kando kwao ni mteremko.
 
aisee na mm nimeghairi basi ngoja nimwambie afate hamsini zake sipotezi hela zangu tena
 
Ushaishiwa hoja wewe. Unajua kwa nini hii ni forum? Anyway I am out. Hustahili hata kujibiwa wewe.
huyo _aysher ana hasira sitaki hata kumjibu kapaniki.
 
kama unanipenda ungehangaika tu kama yeye.
 
Chagua baba,chagua mwisho wa siku utawashangaza watu kuchagua visivyochagulika.
sio kwamba simtaki au nataka bikra nop, sitaki kulipia scrapper
 
Swali la msingi.
1. wewe bikira?
2. Unaoa bikira au binadamu?
3. Ukishaitoa ni wazi haitakuwepo tena, utabaki na mkeo. sasa hapo bikira itakuwa imekusaidiaje kwa maisha endelevu?
Andiko lako limejaa kisirani na ubinafsi mwingi. Sikuungi mkono
 
Ni kama ulikua akilin mwangu mim nishapanga kabxa hiyo pesa ya kutolea mahali bora ninunue mashine ya kufulia nguo(washing machine) kwasabab Kaz ambayo Hua inanipa uvivu ni kufungua nguo
tupo pamoja mkuu
 
Hakuna shida, we endelea kutafuta huyo bikira, huenda ukampata
 
Doh pole sana dada yangu, wewe inaonekana ata aliyeitoa umkumbuki. Lakini usiogope unaweza ukabahatisha kumpata zuzu ukamshikisha hiyo scraper na akailipia mahari.
Pole yako, usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Usikariri
 
Aliyetoa bikra atoe mahari kabisa,ukijijiua ni bikra na unaenda kumpa mtu aitoe mlipishe kabisa mahari ili asipokuoa anayekuja kukuoa asitoe mahari,hivi mkiwa na bikra hadi mnaolewa inakuwa inakera mkojooooooo haupiti?maana mkiwa nayo mnahangaika kuitoa kama vile ina wakera,kuoa mwanamke ambaye sio bikra si sawa kwa dini zote,ndio maana kwa wenzetu wakristo wanapigiwa kelele kutovaa shera jeupe sio vizuri,na waislamu shuka jeupe first day,lengo ni nini?white means pure,bikra imewekwa kwa mwanamke kama Mungu alivyopenda yeye,msilazimishe wanaume kuwa na bikra hakuna kitu hicho!
 
Sasa kama hutoi si basi piga kimya! Bikra wewe unayo mkuu? Na sisi tutaanza kuwakagua maana na nyie siku hizi mnatafuta bikra huku marinda nyuma hakuna!
Na wewe kama hana marinda nyuma amua afanyeje,mwambie abongoke utizame kama hana mchaji mahari double kama wewe una bikra!
 
ila kiukweli sio haki.. kama wote used why tulipishane mahari....

bora tuchukuane kimya kimya tu.. bure bure..

sio haki mzazi kupokea mahari ya binti yake milion 2 huku huyo binti ameshapitiwa na wanaume kazaa bure bure...

ni kama kumfanya muoaji zoba
 
Sasa kama hutoi si basi piga kimya! Bikra wewe unayo mkuu? Na sisi tutaanza kuwakagua maana na nyie siku hizi mnatafuta bikra huku marinda nyuma hakuna!
kwani sie tunatolewa mahari mpaka tukaguliwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…