Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Yes!! Hilo nalo ni swali la msingi... Kwao Zanzibar hilo shirika la Posta liko kwa hizo asilimia? Na jee kuna watanganyika wangapi huko Zanzibar wanaofanya kazi kwenye shirika hilo!?Kwanini wapewe Asilimia 25
Mkuu, si halali kwa mujibu wa Wazanzibar lakini ni halali kwa mujibu wa katiba ya mpito ya 1964.Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Tatizo wapumbavu hawataki kuamini kuwa ccm ni mafii...tatizo la muungano linaanzia kwa nyerere kujidandanya kuwa muungano wa nchi na nchi ndiyo msingi wa waendeleo kwa bara la africa ,huo ulikuwa ujinga mkubwa sana ukweli kinacho sababisha maendeleo baina ya nchi na nchi ni ushirikiano mzuri na madhubuti ulio chini ya haki yoteHivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Mkuu Allen Kilewella , kwanza kazi ni kazi, hakuna kazi ya mtu, hivyo hakuna kazi za Mtanzania wala kazi ya Mzamzobari, kazi ni ya wote. Pili hiki ulichokileta ni ubaguzi wa kutaka kuwabagua Wazanzibari!. Mwalimu Nyerere alisema hii ni dhambi!. Kiukweli somo la uraia linahitajika sana Tanzania kwa watu kama wewe!. Tanzania ni nchi moja, ya JMT, yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa na haki zote za raia wa Tanzania.Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Marufuku Kujiunga mtanganyika unaanzaje kwanza ila naona mzanzibar ni ruksa Kujiunga JKT au JWTZHivi wale askari wa kmkm mafunzo yao wanapata bara au Zanzibar, vipi mtanganyika anaweza kujiunga na hilo jeshi..?
Ebu kuwa na akili..acha kijifanya mjinga na mpumbafu.Hiyo Tanganyika inayoongelewa kila siku iko wapi? Mbona haionekani Google Maps, haionekani kwenye ramani ya dunia?
Suala la msingi hapa ni ,Jee ? Ni halali Tanganyika kulazimisha Muungano na Zanzibar?Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Zanzibar ni Tanzania visiwani kwa pamoja vinatambuliwa km Zenjibar yaan visiwa vya Pemba na UngujaZanzibar ni Zanzibar ila Tanganyika ni Tanzania bara. KWA NINI??
Muundo wa muungano utazamwe upya ili kuondoa hii mikanganyiko iliyopo.Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Hawa watu wanavitambulisho vya uzanzibar na hata kwenye mambo mengine vinatumika kuwabagua wabara, kingine Hawa watu wanaminywa vichwa kuleta utofauti Kati ya watu wa visiwani na watu wa bara. Ukienda tu na chogo wanajua huyu mtanganyika.Mkuu Allen Kilewella , kwanza hiki ulichokileta ni ubaguzi wa kutaka kuwabagua Wazanzibari!. Mwalimu Nyerere alisema hii ni dhambi!. Kiukweli somo la uraia linahitajika sana Tanzania kwa watu kama wewe!. Tanzania ni nchi moja, ya JMT, yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa na haki zote za raia wa Tanzania.
Ndani ya uraia wa Tanzania kuna uraia mmoja tuu wa Mtanzania.
Kwa vile Tanzania ni nchi moja ya JMT, ndani ya JMT kuna sehemu moja ya Zanzibar ina utawala wake wa ndani ambao Wazanzibari licha ya kwanza kuwa ni raia wa JMT wenye haki zote za uraia wa JMT, hawa wamepewa haki za ziada za ukaazi wa Zanzibar. Kitambulisho cha ukaazi wa Zanzibar sio kitambulisho cha uraia, hakuna uraia wa Zanzibar kuna uraia mmoja tuu wa JMT na ziada ya ukaazi wa Zanzibar.
Hivyo Wanzanzibari wana haki zote za uraia wa Tanzania na ziada ya haki za ikaazi wa Zanzibar.
Lile jambo langu likitimia, nafungua darasa la bure la Haki, kuwaelimisha Watanzania haki zao mbalimbali zikiwemo haki za uraia.
P
Yaani hao top ni matatizo tupu.Hii ndio hoja ya msingi ya serikali tatu, rais wa muungano na wa Zanzibar wote ni wazanzibari, nani anatetea maslahi ya Bara ndani ya Muungano? Bara inaporwa tu hakuna wa kuitetea, waliopigania Uhuru wa Tanganyika wanadhihakiwa mno
Kwasababu serikali ya Tanganyika ilivalishwa koti la Serikali ya muungano na Mwl Nyerere toka mwaka 1964 (hivyo serikali ya Tanganyika ilipotezwa kijanjaa) na huenda Karume aliridhia asichokifahamu vyema.Zanzibar ni Zanzibar ila Tanganyika ni Tanzania bara. KWA NINI??