tuanze kuidai Tanganyika yetu sasa, nao tuwaachie kisiwa chao. Hatuna maslahi yao.
Kama ni suala la ulinzi na usalama, tuimalishe jeshi letu la majini, anga nk, tuweke makombora kadhaa pale tegeta juu, ununio nk. Patrol boats za kutosha nk.
Tukishindwa yote hayo, Tutumie mabavu kuifanya iwe Tanganyika, wasiwe na Rais wala serikali, mamlaka zote ziwe za bara na kule kuwe na wakuu wa mikoa kadhaa, kambi za majeshi na wanajeshi kutoka mara, mwanza na Bukoba, Askari kutoka Zanzibara wapelekwe Dodoma, Mbeya, Simiyu nk. Turuhusu muingiliano kwao na wao waje huku, wabara waajiliwe kwa wingi kule na wao waajiliwe kwa wingi huku, kuwe na intermarriage nyingi sana, At the end Zanzibara will be permanently Tanganyika.