Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #81
Ana Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi??unaweza mkuu, ubunge ni wa tanzania kwahiyo mtanzania yoyote anayo ruhusa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi??unaweza mkuu, ubunge ni wa tanzania kwahiyo mtanzania yoyote anayo ruhusa.
Habaguliwi mtu. Haki ni haki haibagui. Tunazungumzia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na haki zake zilizomo!!Bora wazanzibar huko ofisini kuliko wachaga na wahaya roho mbaya kabisa nyie
Ana Kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi??
Wewe Ulitakaje Kwani, Hivi Hata Kwenye Sinia Kaka na Mdogo wake hawaendi Matonge Sawa Kuna Muda Anamwachia Ashibeee, Mimi Nikiangalia Sioni Tatizo Apo Maana Tanganyika Tumewazidi Zanzibar Kwa Vingi Hivyo Hatuwezi Kungangania Ardhi Yao kuchenga Uko Kati Tuna Mapori Mengi Huku Bara, Pia Kwenye Upande Wa Ajira Tukisema Tuajiri Sawa waTanzania Ni wengi Na Bado Nafasi Hazitawatosha Ndio Maana Wanajaribu Kubalance Na Wazanzibar... Kifupi Tutafute Khela Hizi Nyuzi Nyengine Ni Njaa TuHabaguliwi mtu. Haki ni haki haibagui. Tunazungumzia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na haki zake zilizomo!!
Tanganyika ilikufa mwaka 1964, na msiba kitaifa ulifanyika uwanja wa uhuru tarehe 26 mwezi wa Nne.Hiyo Tanganyika inayoongelewa kila siku iko wapi? Mbona haionekani Google Maps, haionekani kwenye ramani ya dunia?
I like this guy.......tuanze kuidai Tanganyika yetu sasa, nao tuwaachie kisiwa chao. Hatuna maslahi yao.
Kama ni suala la ulinzi na usalama, tuimalishe jeshi letu la majini, anga nk, tuweke makombora kadhaa pale tegeta juu, ununio nk. Patrol boats za kutosha nk.
Tukishindwa yote hayo, Tutumie mabavu kuifanya iwe Tanganyika, wasiwe na Rais wala serikali, mamlaka zote ziwe za bara na kule kuwe na wakuu wa mikoa kadhaa, kambi za majeshi na wanajeshi kutoka mara, mwanza na Bukoba, Askari kutoka Zanzibara wapelekwe Dodoma, Mbeya, Simiyu nk. Turuhusu muingiliano kwao na wao waje huku, wabara waajiliwe kwa wingi kule na wao waajiliwe kwa wingi huku, kuwe na intermarriage nyingi sana, At the end Zanzibara will be permanently Tanganyika.
Hoja yako ni dhaifu sana!!Wewe Ulitakaje Kwani, Hivi Hata Kwenye Sinia Kaka na Mdogo wake hawaendi Matonge Sawa Kuna Muda Anamwachia Ashibeee, Mimi Nikiangalia Sioni Tatizo Apo Maana Tanganyika Tumewazidi Zanzibar Kwa Vingi Hivyo Hatuwezi Kungangania Ardhi Yao kuchenga Uko Kati Tuna Mapori Mengi Huku Bara, Pia Kwenye Upande Wa Ajira Tukisema Tuajiri Sawa waTanzania Ni wengi Na Bado Nafasi Hazitawatosha Ndio Maana Wanajaribu Kubalance Na Wazanzibar... Kifupi Tutafute Khela Hizi Nyuzi Nyengine Ni Njaa Tu
Kote Kuna ubaguzi sasa muungano wa nn? Wakati ndani tu tuna matatizo hata hao wazanzibar kipind cha uchaguzi wanagwanyika .. Tatizo mkikaribishwa kwa watu mnaleta ujuaji mwingiHabaguliwi mtu. Haki ni haki haibagui. Tunazungumzia Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na haki zake zilizomo!!
Jaribu tu ndugu yangu...ubgunge ni suala la mungano, huhitaji kuwa na kitambulisho cha mzanzibari mkaazi kugombea, labda baraza la uwakilishi ndio linahitaji kitambulisho cha mzanzibari mkaazi.
Kuna kitu umazungumza hapo alafu mm bado sielewi.Wewe Ulitakaje Kwani, Hivi Hata Kwenye Sinia Kaka na Mdogo wake hawaendi Matonge Sawa Kuna Muda Anamwachia Ashibeee, Mimi Nikiangalia Sioni Tatizo Apo Maana Tanganyika Tumewazidi Zanzibar Kwa Vingi Hivyo Hatuwezi Kungangania Ardhi Yao kuchenga Uko Kati Tuna Mapori Mengi Huku Bara, Pia Kwenye Upande Wa Ajira Tukisema Tuajiri Sawa waTanzania Ni wengi Na Bado Nafasi Hazitawatosha Ndio Maana Wanajaribu Kubalance Na Wazanzibar... Kifupi Tutafute Khela Hizi Nyuzi Nyengine Ni Njaa Tu
Haki na ubaguzi ni mambo mawili tofauti, ni kama dini na udini!!Kote Kuna ubaguzi sasa muungano wa nn? Wakati ndani tu tuna matatizo hata hao wazanzibar kipind cha uchaguzi wanagwanyika .. Tatizo umkikaribishwa kwa watu mnaleta ujuaji mwingi
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya MT na sheria ya uraia, Wazanzibari ni Watanzania kwa hivyo wanayo haki kikatiba kufanya kazi popote katika JMT. Ikiwa katiba haifai inapaswa kurekebishwa na hivyo ni jukumu letu sote tunaoona hivyo kupigania mabadiliko ya katiba kwa vitendo na siyo kulalamika tu kwenye keyboard. Amkeni tudai katiba mpya. Wazanzibari watabakia kuwa Watanzania hadi hapo katiba itaposema vingine na itasema vingine pale tutapoipigania kwa vitendo.Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi?
Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata?
Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika?
Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya biashara Tanganyika bila kwanza kupewa kibali cha kufanya kazi?
Mzanzibari anaweza kuteuliwa kusimamia wizara zisizo za Muungano?
Ni halali kwa Mzanzibari kugombea nafasi za kisiasa Tanganyika?
Kodi anayotozwa Mzanzibari inatakiwa iende nchini kwao Zanzibar ama itumike Tanganyika?
Inavoonekana hakuna Watanganyika. Kwa nini??Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya MT na sheria ya uraia, Wazanzibari ni Watanzania kwa hivyo wanayo haki kikatiba kufanya kazi popote katika JMT. Ikiwa katiba haifai inapaswa kurekebishwa na hivyo ni jukumu letu sote tunaoona hivyo kupigania mabadiliko ya katiba kwa vitendo na siyo kulalamika tu kwenye keyboard. Amkeni tudai katiba mpya. Wazanzibari watabakia kuwa Watanzania hadi hapo katiba itaposema vingine na itasema vingine pale tutapoipigania kwa vitendo.
Mkuu Allen Kilewella , kwanza kazi ni kazi, hakuna kazi ya mtu, hivyo hakuna kazi za Mtanzania wala kazi ya Mzamzobari, kazi ni ya wote. Pili hiki ulichokileta ni ubaguzi wa kutaka kuwabagua Wazanzibari!. Mwalimu Nyerere alisema hii ni dhambi!. Kiukweli somo la uraia linahitajika sana Tanzania kwa watu kama wewe!. Tanzania ni nchi moja, ya JMT, yenye uraia mmoja tuu wa Tanzania, kila Mtanzania ana haki sawa na haki zote za raia wa Tanzania.
Ndani ya uraia wa Tanzania kuna uraia mmoja tuu wa Mtanzania.
Kwa vile Tanzania ni nchi moja ya JMT, ndani ya JMT kuna sehemu moja ya Zanzibar ina utawala wake wa ndani ambao Wazanzibari licha ya kwanza kuwa ni raia wa JMT wenye haki zote za uraia wa JMT, hawa wamepewa haki za ziada za ukaazi wa Zanzibar. Kitambulisho cha ukaazi wa Zanzibar sio kitambulisho cha uraia, hakuna uraia wa Zanzibar kuna uraia mmoja tuu wa JMT na ziada ya ukaazi wa Zanzibar.
Hivyo Wanzanzibari wana haki zote za uraia wa Tanzania na ziada ya haki za ikaazi wa Zanzibar.
Lile jambo langu likitimia, nafungua darasa la bure la Haki, kuwaelimisha Watanzania haki zao mbalimbali zikiwemo haki za uraia.
P
Hamkawii kuwaita wavivu basi waache wafanye kazi zao na huku pia waje kufanya izo kazi!! Mtu ukienda kule siku mbili tatu unakuja na Uzi watu wa kule wavivu basi waache wafanye kazi zao.Haki na ubaguzi ni mambo mawili tofauti, ni kama dini na udini!!