Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

Faida ni mademu wa kiburushi tu toka oman😂😂😂
 
Hahahah robo ya kariakoo itarudi kwa wabongo. Maeneo mengi ya Ilala na Temeke yatarudi kwa wabongo. Yani jamaa kisiwa cha hakitowatosha sababu idadi yao inaweza kufika 10M ghafla.
 
Hivi wale askari wa kmkm mafunzo yao wanapata bara au Zanzibar, vipi mtanganyika anaweza kujiunga na hilo jeshi..?
Usithubutu. Juzi juzi kateuliwa kamishna wa polisi Zanzibar toka Tanganyika likazaa muungano mpya wa CCM, CUF na ACT kumpinga akiitwa Choko mpaka akarudishwa Bara. Tena Mtu mwenyewe mnyamwezi wa Tabora na kafanana nao kweli kweli lakini alipigwa spana mpaka na akina Jussa kwamba amekwenda kuchukua nafasi za watoto wao. Yaani kuna Watanganyika zaidi ya mil.5 wenye sifa hawana ajira lakini wanachukuliwa Wazanzibari zaidi ya elfu 5 kuletwa Tanganyika. Ukiniuliza naijua kazi anayofanya Dr Mpango na mwenzake Dr Maja hata siwezi kukueleza maana Dr Maza amemonopoli kila kitu. Jana namsikia Dr Mwinyi anasema hela zinazotoka FIFA zigawiwe pasu kwa pasu kila Mtu afe na zake!
 
Hii ndio hoja ya msingi ya serikali tatu, rais wa muungano na wa Zanzibar wote ni wazanzibari, nani anatetea maslahi ya Bara ndani ya Muungano? Bara inaporwa tu hakuna wa kuitetea, waliopigania Uhuru wa Tanganyika wanadhihakiwa mno
Zanzibar hakuna unemployment. Wakifika tuu kwenye Interview wanapewa Ajira Ili kubalance Muungano. Let say wakiitwa interview wanataka Watu 6 wakaja Wawili wa Zanzibar wote watapewa. Halafu Wana tabia ya Kupunguza Umri. Ana miaka 50 atasema ana 38 Ili aendelee kuajirwa.
 
Watanganyika endeleeni kutoa hisani! kule Zanzibar Rais Mwinyi kasema ninyi ni sawa na wageni wengine
Kila nikiuangalia huu Muungano naogopa yale ya Muhammad Ali Jinnah na wenzake walioona suluhisho la Kashmir ni wa India waende India na Wa Pakistan waende Pakistan, yasije yakatokea Tanzania.
 
Kila nikiuangalia huu Muungano naogopa yale ya Muhammad Ali Jinnah na wenzake walioona suluhisho la Kashmir ni wa India waende India na Wa Pakistan waende Pakistan, yasije yakatokea Tanzania.
Mkuu why not kama ndiyo iliyo best option?

Hata Moi (RIP) aliwahi kushauri makabila pendwa ya Rwanda na Burundi wagawane tu hizo nchi.
 
Huo ndio unafiki uliyojichimbia kwenye muungano wetu.
Ingekuwa wa Zanzibari wanazuiliwa/hawapati yote hayo, hizo zingeitwa kero za muungano.
Raisi wa Zanzibar Husseini Mwinyi aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga.
 
Mkuu why not kama ndiyo iliyo best option?

Hata Moi (RIP) aliwahi kushauri makabila pendwa ya Rwanda na Burundi wagawane tu hizo nchi.
Hilo balaa lake hadi vining'ina vyetu vitahangaika nalo.
 
tuanze kuidai Tanganyika yetu sasa, nao tuwaachie kisiwa chao. Hatuna maslahi yao.

Kama ni suala la ulinzi na usalama, tuimalishe jeshi letu la majini, anga nk, tuweke makombora kadhaa pale tegeta juu, ununio nk. Patrol boats za kutosha nk.

Tukishindwa yote hayo, Tutumie mabavu kuifanya iwe Tanganyika, wasiwe na Rais wala serikali, mamlaka zote ziwe za bara na kule kuwe na wakuu wa mikoa kadhaa, kambi za majeshi na wanajeshi kutoka mara, mwanza na Bukoba, Askari kutoka Zanzibara wapelekwe Dodoma, Mbeya, Simiyu nk. Turuhusu muingiliano kwao na wao waje huku, wabara waajiliwe kwa wingi kule na wao waajiliwe kwa wingi huku, kuwe na intermarriage nyingi sana, At the end Zanzibara will be permanently Tanganyika.
 
Una suluhisho la kibabe sana!!!
 
This is begging to an end...., Soon tutaanza kugawana Meza...

Na hili litakuwa limeletwa na Ulafi wa Awamu hii Kupendelea Kwao ingawa lilianzishwa na awamu iliyopita kwamba kila kitu Kwetu....

Anyway damu ya ubaguzi ishaanza kututafuna
 
hakuna mtanzania nusu mkuu. kwahiyo lolote la utanzania na mzanzibari linamuhusu
 
Una suluhisho la kibabe sana!!!

tunawabembeleza sana hawa watu huku watanganyika tukigharamika dhidi yao with the so called security blah blah, wakati wazee kadhaa kwenye system wanaweza kuandaa utaratibu wa kimafia wa siri kukimeza kisiwa na kukifanya Tanganyika.

mfano: tukipandikiza kijana pale kuwa Rais na mawaziri kadhaa kutoka bara tukabadirisha hayo makaratasi ya muungano kwa kura feki ukitumika mfumo na style ileile ya CCM kuiba kura then tukakiteka kisiwa democratically kuna shida gani?.

Ubabe kwa maslahi ya Taifa ndio solutuon, ndio maana unaona USA yuko Yokohama, Guam nk kuilinda USA kwa gharama za maisha ya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…