AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Dogo ana masononeko mengi sana sijajua kwanini picha zake nyingi uso wake una huzuni ni km yule manzi tulikua tunaoneshwagwa anapiga mapichapicha anatuonyesha makalio kwenye magari na maeneo ya kifahari maduka maduka makali ya mjini akiulizwa anatoa majibu yasiyokamilika sasa hivi yule aliekua anamsponsor kamtosa wana wanagonga milango yote wanagonga mbele na wanagonga nyuma, huzuni ya huyu manzi hua inanipa maswali mengi sana kwanini ana huzuni?Vale Nafaka please msaidie braza yangu loose Nut amepigwa ban jamvini baada ya kuchongewa kwa mods na mbusii adriz.
View attachment 3689667
Grahams min -me Yoda MamaSamia2025
Kuanzia leo tunaanza kula wote. Kwa hiyo kama ni kufa kwa hiyo steel wire tutakufa wote.Sio nyie humu kila kukicha mnatishia na kujisifia kuwaua wanawake! Sasa kibao kimegeuka mnaanza kulia tena?
Tena washukuru sana na huyo dada wamchangie na hela ya bandoAmewasanua nyie mnamuita mgonjwa wa akili, kweli shukrani ya punda ni mateke.!
Tatizo mnataka kuaminisha watu kwamba kifo ni dhambi , kila mtu atakufa ni vile una wasiwasi na vitu viko nje ya uwezo wako ..Ishi , Mungu hamna mpango mbaya na mwanadamu ,Oya Accumen unakuwaga na roho ngumu sana likija swala la kifo. Nimefuatlia sana comments zako hasa kuhusu ile ajali ya basi iliyotokeaga upareni ikalipuka na kuunguza watu hadi majivu. Wala ukujali wala remorse. Pia unashangaaga wanaume wanaolia misibani.
Ilikua ni dawa ya machoKuna kisa kimoja nilisoma nadhani kilitokea maeneo ya Tegeta na nadhani kuna uzi wake humu uliletwa na Deepond
Mwanamke amlidhoofisha mumewe kidogo kidogo kwa kumuwekea nadhan hydraulic oil kwenye juisi yake pendwa,kila lunch time mke anampelekea mumewe juisi pale wazo hill kazini,kumbe ndo ilikuwa inamuondoa mdogo mdogo
Akapelekwa mpaka Kenya kwa matibabu,hospital wakagundua kuwa kweli mume kaonekana na kemikali fulani kwenye mwili,kibaya zaidi,akiwa pale anapata tiba,bado mke alikuwa akiwa peke yake na mgonjwa bado akawa anamlisha au anamuwekea ile oil kidogo,mwisho wa siku mume alikufa ila ukweli ukaja kugundulika
Hiyo mbinu alipewa na mchepuko wake ambaye ni daktari
Wakiamua kutumaliza ni chap tu
Kwahiyo hawa wanawake
Chanzo cha mabaya yote ni kupenda fedha!Ushawahi kujiuliza kwanini zamani haya mambo hayakuwepo au nini kimebadilika?
Unaifanya paradiso anakuona bwege mtozeni anaenda kwa yule bad boy ambae yeye ndo anambonga hela unazompa wewe ndani.Inajulikana.
Wanawake Wana uwezo mkubwa wa kuua wanaume bila hata kutumia nguvu hasa Kwa sumu.
Mwanamke atakavyobadilika na kuwa,ni matokeo ya vile wewe unavyomtendea.
Huwezi kuifanya nyumba jehanamu ukatarajia kuishi na malaika,utauona ubaya wake.Na ukifanya nyumba yako paradiso utauona uzuri wake
Huo mwili utadhani anatokea ukoo wa viboko (hippopotamus)Vale Nafaka please msaidie braza yangu loose Nut amepigwa ban jamvini baada ya kuchongewa kwa mods na mbusii adriz.
View attachment 3689667
Grahams min -me Yoda MamaSamia2025
Una muda gani kwenye ndoa?Kaka zangu na wadogo zangu!! mnapoingia kwenye ndoa na wenza wenu jitahidini sana kuishi vizuri.
kuishi bila kejeli, dharau, masimango na unyanyasaji wa kimwili na kiakili.
La sivyo ni lazima kiwalambe ndoa sio lelemama huwezi kuishi na mtu usioe la sivyo mtakufa sana!.
Na bado kuna sumu ya mamba inatengenezwa Burundi nzuri sana!!!! yenyewe inaenda kumaliza figo , maini na ukiwa na bahati inakupiga kwenye moyo.
inauzwa mia tano tu Burundi!!! ukinunua kwa madalali ni elfu kumi za kitanzania
Hakuna nyumba yenye furaha mwanaume akageuka bwege.Unaifanya paradiso anakuona bwege mtozeni anaenda kwa yule bad boy ambae yeye ndo anambonga hela unazompa wewe ndani.
Hahaha,Kuanzia leo tunaanza kula wote.
Miaka 19 na watoto5Una muda gani kwenye ndoa?
🤣🤣🤣 tuna mbwinu nyingi.Kuanzia leo tunaanza kula wote. Kwa hiyo kama ni kufa kwa hiyo steel wire tutakufa wote.
Hey watch your stinking mouth.Huo mwili utadhani anatokea ukoo wa viboko (hippopotamus)