Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

Domo langu unajuaje linanuka? Nilikunyonya mate mrembo?
 
Unaifanya paradiso anakuona bwege mtozeni anaenda kwa yule bad boy ambae yeye ndo anambonga hela unazompa wewe ndani.
Kila kitu kinafanywa kwa kiasi, mkifanyiwa kupitiliza mnapata hali ya kutojali
 
Kipenzi chetu Hussain
 
Mkuu mbona kama unanitisha mie😊
Mi mambo ya kuuana siyawezi napita hivi yaishe.
Hayo nnayokwambia nimewahi kuayasikia Kwa baadhi.
Ni haki kurespond Kwa unyama utaofanyiwa.
Ila kuna wanaume wengine wanaujasiri wa kijinga yaani umemtwanga mkeo mangumi afu usiku unaenda kulala nae kitanda kimoja hahahaha mimi siwezi naenda kulala Lodge basi maana
 
Mimi nadhani wewe ndiye mjinga sasa hapo utatumia akili gani ili kugundua umewekewa stiliwaya kwenye mchuzi ?
Hebu acha kwanza. Aliesema wanaume tunameza chakula kama kuku nani? Kwamba uniwekee steel wire kwenye mchuzi nisigundue niwe nameza tu? Hebu jaribu kutafuna ugali wenye mchuzi wa steel wire uone. Usije ukathubutu kufanya hivyo, maana ukijulikana unakula shaba ya kichwa, potelea mbali nikifungwa!
 
Ila kiuhalisia mwanamke katika ndoa akitaka kukuua bila ushahidi ni rahisi sana, wao hawahitaji bastola au visu.
 
Nilitaka kuuliza hivyo hivyo. Au hiyo steel wire anaisaga kwanza ndipo anaweka kwenye chakula?
 
Ama kweli mkuki mtamu kwa nguruwe....si ni nyie mnajisifia kuua, utasikia mwanamke akizingua tu shaba ya kichwa ila nyie kutishiwa kidogo tu mnakuja na nyuzi 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…