Ni hatari sana kuishi na mwanamke mwenye akili kama hizi

Wakulaumiwa.ni sa100 kwa kuruhusu kila takataka kuingia nchini.Hizo still waya zimepigwa marufuku sehemu nyingi duniani isipokuwa Tanzania pekee.sa100 ni muuaji
Tatizo lako na tatizo la timu ya Yanga vinafanana.
 
Mwanamke mjinga huua ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe maandiko yamesema wazi kuwa tuishi nao kwa akili ni hatari sana kuishi na mwanamke bila kutumia akili
Soma hio comment ya huyo dada hapo down 👇
View attachment 3689663
Amesema ukweli, wanaume ndo tujuwe njia wanazotumia kutumaliza. Wazee wa zamani hususan Wasukuma wanalijua hili. Ndo maana wanawake wa kaskazini hawapendi kuolewa na waanaume wa kanda ya ziwa ukiacha wahaya. Hapa Feminist hutowaona
 
Mchawi huyo ameshazoea kuua, ht hivyo wapare siyo watu wana roho mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…