Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

Jee hao wtt wa kimaskini either waarab au waswahili wazee wao watakubali kuwatoa wakalelewe na watu wengine?
 
Unakusudia kutoka nje ya Tanzania?
Ingekuwa Gaza kunaendeka ningekwambia ukaasili huko mana kule ndio wtt wengi wameachwa mayatima
 
Jee hao wtt wa kimaskini either waarab au waswahili wazee wao watakubali kuwatoa wakalelewe na watu wengine?
Sina uhakika, nadhani ukifuata taratibu za serikali unaweza fanikiwa. Nenda tinde, ruhumbo, mpaka hahama warabu ni wengi utawapata tu.
Kama wewe ni muislam ndio inaweza kuwa rahisi zaidi. Sehemu nyinyine unaweza kuwapata ni Tanga, kariakoo na Zenji.
Ukikosa kote huko nenda mombasa .
Ningekuwa nakujua nje ndani ningekuunganishia maana wapo jirani zangu warabu, wala isingekuwa shida ila siku hizi mambo mengi wengine huwageuza watoto watumwa wa ngono.
 
Kuna waarabu koko na waarabu.
Waarabu wanaopatikana Kahama, Shinyanga na Mombasa hao ni waarabu koko hadi utumbo wa kuku wanakula
 
Kuna waarabu koko na waarabu.
Waarabu wanaopatikana Kahama, Shinyanga na Mombasa hao ni waarabu koko hadi utumbo wa kuku wanakula
Hata kina m. salah, hakim nk ni warabu koko. Nadhan una shida na uelewa juu ya warabu. Wapo warab upongoj shinyanga weupe kuliko warab wa muskat au Oman. Hata Sudan, Algeria ni warabu ila hawana tofauti na watanga. Kwa kuwa unaishi nao hapa TZ unaona sio warabu ?
Warabu waliopo Afrika ndio waliopo Saudia, Qatar nk.
Ni sawa na kusema waafrika wa Afrika ndio waafrika ila waaafrika wa jamaica sio waafrika.
Ungekuwa unafuatilia historia vizuri usinge toa hio kauli, kwa sababu historia inaonesha warabu origional ni weusi.
Hawa warabu weupe ni warabu wa mchongo waliopindua historia kama wale jews. Hata wahindi ni hivyo hivyo.
 
Labda upate mtoto wa kiarabu koko na siyo wale waarabu na Quran yao maana hao bado huchukulia Waafrika ni watumwa wao.
Unaweza kunipa idadi ya watanzania waafrika walioa waarabu?
Hujakaa na warabu. Dhana hii huchochewa sana na watu ambao hawajaishi na warabu wa hapa TZ.

Ni hivi wewe kama sio muislam hata kwa mswahili huoi mkuu ach warabu.
Maza angu alimkatalia mkurya kuo dada angu, tena alishakuwa kamharibia shule.
Suala la kuoana ni tata, sio kila mahala utaoa hata wabantu kwa wabantu japo inapungua taratib, lakini bado kuna familia huendo kuoa kizembe kisa una mdudu ananing'inia.

Faza wangu mmoja alioa mwarabu aliekamilika pisi kali ila nae akaja akaporwa huyo mke na mswahili mwenzake, kwa hio sio kweli kuwa huwezi oa kwa mwarabu.

Africans Arabs are just swahili people and share culture with other swahili. Ukumbuke warabu walipo kuja mwanzoni mwa karne ya 7 hawakuja na wake zao hivyo walioa huku na kuacha masalia ya warabu.
Hata wale wa Morocco unaowajua ni warabu koko/ half cast.
Ni vizuri sana tufuatilie historia watanzania wengi uelewa ni mdogo japo wamesoma mpaka chuo, sijui kwa nini.
 
Mie sitaki kuasili mkuu. Nimeuliza tu
Mana naona kwa tamaduni zetu mtu hata awe maskin vipi sio rahisi kutoa wtt wake walelewe kwengine. Atapambana nao hivyohivyo. Kubwa anaweza kuomba misaada toka kwa wafadhili lkn wtt wake abaki nao.
Mie nipo zenji ila sijaskia mambo kama hayo, hao waarabu wengi ndio wana uwezo, hata kama mtu ana wtt zaidi ya 10 lkn maisha yao huwa mazuri sn au ya wastani. Sio maskini wa kufikia kutoa wtt wake.
Labda sina uhakika kwa vituo vya kulea mayatima
 
Lecture =Lecturer

Kuhusu hilo swala link na wahusika wa idala kama anayofanya Kazi Dorothy Gwajima.
 
Hivi kuasili mwisho umri gani??? Mumama wa 30s naweza kuasiliwa? Maana dah......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…