Ni hatua zipi nazotakiwa kuzifuata nikihitaji kuasili (Adopt) mtoto wa kiarabu ?

Huwajui waarabu. Hao waarabu waliokuja kuoa huku Afrika, watoto waliozaliwa ni waarabu koko.
Wewe mweusi huwezi kumuoa mwaarabu kutoka Tunisia, Misri, Algeria, Syria, Libya na nchi zingine za waarabu.
Hawa wanaokula miguu ya kuku na utumbo bado unawaita waarabu?
Waarabu bado wanawachukulia waafrika kama watumwa ndiyo maana wanaojiita ndugu zao huishia kujengewa msikiti, kupewa tende, kanzu, maji ya zamzam, Quran, kisima cha kujitawazia ila siyo mwaarabu akujengee shule au hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…